donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
HahahaHuo ugali naufananisha na ile kitu hiyo mikato
😀😀😀😀😀Hebu ntumie picha zngne ukiwa unakula kuna dem nataka nmtumie ... Zile za kwanza nmemtumia zmeisha
Karibu mkuuUmentamanisha aisee,itabidi nikapige jioni
HahahahaHebu ntumie picha zngne ukiwa unakula kuna dem nataka nmtumie ... Zile za kwanza nmemtumia zmeisha
Swadaktahiyo roast ya 'mkuu wa meza' sio?
Yeah mkuu unajua kwenye bar nyingi ugali dona huwezi pataHiyo nyama tu
Ntumie basi mkuu ... Unansaidia sana ... Wewe ni moja ya watu nnaowaheshmu hapa jukwaanHahahaha
Haha pamoja mkuuu.Ntumie basi mkuu ... Unansaidia sana ... Wewe ni moja ya watu nnaowaheshmu hapa jukwaan
Aisee .... Nashukuru sana .... Hauna moja ambayo upo na maji ya kilimanjaro.... Huyu demu anaamin mi nna hela sanaaaa.... Kumbe mm bwana.... Mbahili sana .... Msos wa 3500 tuuHaha pamoja mkuuu.View attachment 866244View attachment 866245
ushanitamanisha mkuu...ngoja nifanye mpango kesho nisuuze roho kwa 'mdudu'Swadakta
Inaonesha unahusudu sana ile kituHuo ugali naufananisha na ile kitu hiyo mikato