englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,210 Mar 22, 2014 #1 <button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,551 Reaction score 74,332 Mar 22, 2014 #2 Huyu Clinton anakula madikodiko yote haya halafu mwili bado umegoma? Nilitegemea awe kama IyenaIyena(Komba)
Huyu Clinton anakula madikodiko yote haya halafu mwili bado umegoma? Nilitegemea awe kama IyenaIyena(Komba)
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,120 Reaction score 2,234 Mar 22, 2014 #3 huko chooni kwake sipati picha hiyo harufu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Mar 22, 2014 #4 Kwa wakati mmoja Anamaliza hivyo vyote?
S sir pierre Senior Member Joined May 11, 2013 Posts 148 Reaction score 47 Mar 22, 2014 #5 Kennedy said: Huyu Clinton anakula madikodiko yote haya halafu mwili bado umegoma? Nilitegemea awe kama IyenaIyena(Komba) Click to expand... Komba anakula bila mpangilio wa balance diet ndio mana mwili unakuwa waajabu!ila huyu anakula balnce diet huwezi nenepa kama komba Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kennedy said: Huyu Clinton anakula madikodiko yote haya halafu mwili bado umegoma? Nilitegemea awe kama IyenaIyena(Komba) Click to expand... Komba anakula bila mpangilio wa balance diet ndio mana mwili unakuwa waajabu!ila huyu anakula balnce diet huwezi nenepa kama komba Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mb-one JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 885 Reaction score 1,297 Mar 22, 2014 #6 Clinton alishahawi kupata cardiac attack..hvyo akashauriwa kuwa vegeterian..angalia msos wake full mboga mboga
Clinton alishahawi kupata cardiac attack..hvyo akashauriwa kuwa vegeterian..angalia msos wake full mboga mboga
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Mar 22, 2014 #7 Mb-one said: Clinton alishahawi kupata cardiac attack..hvyo akashauriwa kuwa vegeterian..angalia msos wake full mboga mboga Click to expand... Bora angebadili na jina kabisa ajiite Chopra
Mb-one said: Clinton alishahawi kupata cardiac attack..hvyo akashauriwa kuwa vegeterian..angalia msos wake full mboga mboga Click to expand... Bora angebadili na jina kabisa ajiite Chopra
S Sugar-a Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 132 Reaction score 22 Mar 23, 2014 #8 Katika vyote hvyo sijauona ugali,au c miongoni mwa chakula bora?
Shadya9 JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 241 Reaction score 71 Mar 23, 2014 #9 Mwisho wa yote haya kaburi