donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Safi sana.
Ndo uhai hakuna binadamu asiependa misosi tena mizuri ni hali tuMh,,we jamaa unapenda misosi kweli kweli
Mi mbona sipendi?,yaani Ni usumbufu,Bora vyakula vyote vingekuea katika Hali ya liquid,unakunywa Mara moja pap,,unaendelea na mambo mengine
wewe kibonge, leo mbona msosi wako haujashushia na bia?
Home blaza, kastoku kapo ndani.wewe kibonge, leo mbona msosi wako haujashushia na bia?
natumaini kesho utatupia post ukila makande
pamoja sana