DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Lowasa angetumbua majipu au angekuna upele tu?Hivyo ndivyo vitakavyotumiwa kisiasa,yale majipu mama na sugu hakuna mwenye ubavu wa kuyatumbua.
Huu ndio ukweli na hata DuppyConqueror na wenzie wanayajua yote haya
Wakati wa kampeni alisema ccm isipotoka mwakahuu, haitatoka milele. Au ulijitia hukusikia??Nimekuwa outdated sana siku hizi,hilo alilisemea wapi?
Sawa tunaisoma namba kwa hii miaka 10. Hakuna namna. Ila chama chetu kinawekewa misingi mizuri ya chaguzi zijazo. Tunavumilia tu.
Lowasa angetumbua majipu au angekuna upele tu?
Wakati wa kampeni alisema ccm isipotoka mwakahuu, haitatoka milele. Au ulijitia hukusikia??
Nilishakukataza hii tabia yako ya kuishi kwa imagination husikii.
Huyo Magufuli katumbua jipu gani la maana hadi sasa?
Ndio maana Watanzania tunachekwa sana kwa hii tabia yetu ya kuridhika na mambo madogo na kumwaga misifa kibao.
Tabia za kuridhika na mambo madogo madogo zipo upande wa Mikoa ya Pwani si Tanzania yote.
Unachekwa na nani? Angalia jiranizako wanavyomtamani JP hapo
View attachment 307344
Watu wametishwa. Watu wametishika. Makada watakosa za watoto ada. Kujenga kutasimama. Miradi itapigwa radi na kuishia kuwa ahadi. Chama kina utawala wake. Chama kina Mwenyekiti wake. Si huyo Rais wa Tanzania. Kwanini majipu ya chamani nayo yapaniwe kutumbuliwa?
Tumepata taarifa, isiyo na ya kuvutia sifa,kuwa jamaa anataka kupewa nafasi ajinafasi kuyatumbua majipu ya chamani. Lakini, ameombwa asubiri wakati wake ufike. Makada wanakipenda chama kwa 'maslahi yanayoleta uhai'. Yakikaushwa ghafla,hapatatosha. Lakini, Ofisi Ndogo za CCM Lumumba hapakaliki. Hakuna raha ila karaha kusubiri pigo la ghafla.
Makada nchi nzima wanamuunga mkono Rais kutumbua majipu pengine lakini si chamani. Chamani kunafukuta kwa hofu ya 'bifu' kuporwa mnofu. Makada wanatumikia chama na wao wenyewe. Wanatamani wale waminywe na wao wasiguswe ili wasisuse. Hawataki sera ile ifike humu chamani.
Serikalini sawa, chamani si sawa. Double standards!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Lowasa angetumbua majipu au angekuna upele tu?
uzuri mtu wenu muliyemuweka kafika alipopataka humu ndani utapotea sasa hivi manake hakuna fungu la book saba hata januari makamba aliyejitanabaisha kufoji takwimu hana uhakika hata kama akiingia kwenye baraza la mawaziri atambadirishaje muheshimiwa awasikilize na chama chao, kwenye chama wakileta za kulet wajumbe toka usukumaniwatawaomeana hapa ndio usukumai kuwa a chatiyao ndani ya chamaHahaaaaaa hii umehack kwa mafunzo ya Mkorea aliyekuja kugushi matokeo uchaguzi Mkuu? Ccm haipokei order toka Moshi,kila mteuzi ana madaraka yake ya kuongoza. Kama yapo majibu huko Ccm jitayarisheni kuyapokea yaje yatumbuke huko. Wameshaambiwa wanafiki waondoke. Kwa kasi hii ya Magufuli hata haitaji nguvu ya chama sisi wananchi tuko nyuma yake
CCM ndo wanaisoma namba!
CCM ndo wanaisoma namba!
Machadema kwa kujifariji na vipost vya kipumbavu hawajambo.. inawezekana kweli CCM wanaisoma namba kama mnavyojiaminisha wenyewe hapa, tuseme ndio iwe hivo na ikishakuwa ivo wewe cheka kwa dharau kama alivocheka nyumbu mmoja hapo, ila sisi tunaelewa kitu kimoja ambacho wewe hukijui Mzee Muongo Mnafiki wa Lumumba tukianza kuwaona ChaDoMO wanasoma namba watakuja na ile kauli ya white hair aliposhindwa kumjibu mdada wa BBC swahili na kuanza kujing'ta nadhani munaijua ile kauli maarufu sana 'NAONEWA' naisubiria kwa hamu
Machadema kwa kujifariji na vipost vya kipumbavu hawajambo.. inawezekana kweli CCM wanaisoma namba kama mnavyojiaminisha wenyewe hapa, tuseme ndio iwe hivo na ikishakuwa ivo wewe cheka kwa dharau kama alivocheka nyumbu mmoja hapo, ila sisi tunaelewa kitu kimoja ambacho wewe hukijui Mzee Muongo Mnafiki wa Lumumba tukianza kuwaona ChaDoMO wanasoma namba watakuja na ile kauli ya white hair aliposhindwa kumjibu mdada wa BBC swahili na kuanza kujing'ta nadhani munaijua ile kauli maarufu sana 'NAONEWA' naisubiria kwa hamu