Masanyiwa Mabula
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 954
- 983
Mkuu mtafute Lizaboni , Hodaya na Wakudavuvua hawa ndiyo wasimamizi wakuu.
Ila ukubali kuisifia ccm na kuiponda chadema. Mkulu hata akinya juu ya meza ww uwe tayari kushangilia kwa makofi,
juz walisajir majembe 2 URIO NA MAKUSIDICALLY Haya ukaba mpaka penalt. Kila la kheri.
POLE SANA UMEANGUKIA KWENY UTAWALA WA DIKITETA UCHWARA INGEKUWA WA KIKWETE UNGEKUWA CHUO NA UNAKULA BOOM LAKO
Kikwete ana roho nzuri sana ndiyo maana mm nilipata mkopo. Ila huyu mweny akili za kimaskin sasa hiv makato ni 15% ni tabu sana