'Lumumba buku 7' ni ajira rasmi?

'Lumumba buku 7' ni ajira rasmi?

Wakubwa habarini naomba nifahamishwe juu ya hawa watu waitwao lumumba buku 7.Kwa uelewa wangu najua haya Lumumba ni makao makuu ya CCM buku 7 ni elfu saba.Sasa kwanini kuwe na mlinganyo wa haya majina???Naomba nieleweshwe ila MOD usiutoe uzi huu sababu sijavunja sheria yeyote ile
 
Assumption ya wapinzani ni kuwa ukiwa mtetezi wa CCM ni kuwa unalipwa elfu 7 na sehemu ya kulipiwa ni Lumumba, au kuwa hao vijana wanaitetea CCM ameajiriwa na wana sehemu special pale lumumba na wanalipwa kiwango hicho cha hela

yaweza kuwa kweli

yaweza kuwa uongo

myth
 
Hiyo ni timu ya vijana wafia CCM.

Kazi yao kubwa ni kukesha kwenye mitandao ya kijamii wakibwabwaja na kukitetea chama mfu cha CCM pamoja na mwenyekiti wao hata ambapo mwenyekiti wao ana makosa.

Kibaya zaidi wanafanya ujinga huo kwa malipo ya shilingi za kitanzania elfu saba(7 000/-) tu.
 
Sawa mzee baba kwa kifupi itakuwa ni political jokes tu nimekupata
 
chagadema mna tabu sana
 
Attachments

  • 1387267265067.jpg
    1387267265067.jpg
    13.1 KB · Views: 39
Hiyo ni timu ya vijana wafia CCM.

Kazi yao kubwa ni kukesha kwenye mitandao ya kijamii wakibwabwaja na kukitetea chama mfu cha CCM pamoja na mwenyekiti wao hata ambapo mwenyekiti wao ana makosa.

Kibaya zaidi wanafanya ujinga huo kwa malipo ya shilingi za kitanzania elfu saba(7 000/-) tu.
Kumbe ni ajira???
 
Back
Top Bottom