Lumia 525 imekataa kuupdate window 10, tatizo ni nini?

Lumia 525 imekataa kuupdate window 10, tatizo ni nini?

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
473
Reaction score
198
cm yangu nokia lumia 525 imekataa kuupdate window 10 tatizo ni nn? maana nimefata hatua zote imeniletea hii meseji
wp_ss_20160919_0001.png
 
Mkuu mbona inajieleza wazi tu kua huwezi pata update kwa hiyo simu ndio maana wamekuambia angalia simu zingine zenye uwezo wa kupata hiyo update
yaani ni kwamba kwasasa hii cm yangu inatumia window 8.1 sasa mimi nilihitaji ni update iwe window 10 ndo inakataa je nifanyaje mkuu?
 
yaani ni kwamba kwasasa hii cm yangu inatumia window 8.1 sasa mimi nilihitaji ni update iwe window 10 ndo inakataa je nifanyaje mkuu?
Mkuu kwa uelewa wangu hiyo sms ina maanisha kua simu yako haiwezi pata update ya window 10
 
LUGHA YA MALKIA ITAKUWA INAKUPGA MWELEKA, HUELEWI NN HAPO? hiyo cm haina uwezo wa kupata window ten kanunue yenye uwezo huo.
 
Maana rahisi ni kuwa hiyo Lumia yako 525 haiwezi kupokea windows 10 ukitaka nunua model nyingine zinazokubaliana nazo.
 
Does your phone eligible to window 10? Kama vipi download UPGRADE ADVISOR APP uangalie Kama Simu ipo kwenye batch ya kupata upgrade

Sent from mTalk
 
simu zote ambazo processor yake ni dual core hazijapata windows 10 ikiwemo yako.
 
Back
Top Bottom