Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,858
- 7,847
Unajua maana ya kudanga?"Kiukweli sijawahi kudanga, ila kuhusu gari ninayoitumia nilipewa na mpenzi wangu wakati wa birthday yangu, kwa hiyo nikipewa na mpenzi wangu siwezi kusema ni kudanga."
Yaani hapa sawasawa na mtu anayesema "Mimi sipendi kula WALI ,ila napenda sana UBWABWA".
Kazungaka weeee mwisho wa siku karudi katika point ile ile ya mdangaji.
Nipe ww maana yake?Unajua maana ya kudanga?
Hahahahaha...."Kiukweli sijawahi kudanga, ila kuhusu gari ninayoitumia nilipewa na mpenzi wangu wakati wa birthday yangu, kwa hiyo nikipewa na mpenzi wangu siwezi kusema ni kudanga."
Yaani hapa sawasawa na mtu anayesema "Mimi sipendi kula WALI ,ila napenda sana kula UBWABWA".
Kazungaka weeee mwisho wa siku karudi katika point ile ile ya mdangaji.
Vipi chief, huamini?? HahahahaDadadeq huyu maandazi ndio ana miaka 19??
Hahahahahaha.....!! MjasiliamwiliAcha aendelee kuufanyia mwili wake business
Aende kwa page ya Anerlisa, demu wa Ben Pol akajifunze tofauti ya real love na udangaji.Hahahahahaha.....!! Anazungusha maneno tuu!!
😂😂 akiwa na miaka 19 basi mimi ntakuwa premature kabisaVipi chief, huamini?? Hahahaha