Sii kavaa nguo au?kama ndiye basi nimemuona "kesho na keshokutwa"nilimuona maeneo ya sinza mkuu.Msichana mmoja aliye julikana kwa jina la lulu kanda mwenye umri wa miaka tisa,ametoroka nyumbani kwao uko tabata baada ya kupigwa na baba yake mzazi .
Lulu alikuwa amevaa nguo na viatu
kwa atakaye muona lulu akae nae nyumbani kwake mpaka afikishe miaka 18.
Msichana mmoja aliye julikana kwa jina la lulu kanda mwenye umri wa miaka tisa,ametoroka nyumbani kwao uko tabata baada ya kupigwa na baba yake mzazi .
Lulu alikuwa amevaa nguo na viatu
kwa atakaye muona lulu akae nae nyumbani kwake mpaka afikishe miaka 18.
akifikisha miaka 18 nimkabidhi kwa nani?