kumbe unamfahamu lulu kiundani eeeMmmmhhh Lulu atembee na GX100 Mhhhhh si ana Harrier kama ya wema?
Na hii foleni napata mchafuko wa roho.
Ha ha ha...Guta ndio nini mkuu..Nilikutana na Lulu pande za Mlimani City mwaka jana. Akawa anatoka sehemu ya Mr Price,nikamwita tukapiga piga story. Mara akaniuliza "unatembelea gari aina gani"? Nikamjibu mimi nasukuma guta maeneo ya Mwenge. Acha aninyalii "mmxxxx" mara ghafla akaona nafungua Gx 100 Mark II 6 Cylinder,mara huyoo akaja.. Na kusema Kaka kama unaenda Tabata tuongozane.. Nika....!
To be Continued.
ndo nin?
pale pale nikatokea na kitu changu range rover voque .... mtoto akaninikimbilia akaniambai nataka mambo nikamwambia mengi ni kaka yangu na barhesa ni mjomba angu ingia ndani tukale bata.baada ya mwezi akatoa mimba yanguNilikutana na Lulu pande za Mlimani City mwaka jana. Akawa anatoka sehemu ya Mr Price,nikamwita tukapiga piga story. Mara akaniuliza "unatembelea gari aina gani"? Nikamjibu mimi nasukuma guta maeneo ya Mwenge. Acha aninyalii "mmxxxx" mara ghafla akaona nafungua Gx 100 Mark II 6 Cylinder,mara huyoo akaja.. Na kusema Kaka kama unaenda Tabata tuongozane.. Nika....!
To be Continued.