Lukuvi atoa siku 30 kwa mkurugenzi manispaa ya Morogoro

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh. Wiliam Lukuvi ametoa siku 30 kwa mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro kuhakikisha anatoa hati zaidi ya 100 kwa wamiliki wa viwanja na nyumba zilizocheleweshwa bila sababu huku akitoa siku sita kuhakikisha anatoa hati 60 za wakazi wa mtaa wa Bigwa barabarani waliokamilisha malipo yao katika mpango wa urasimishaji makazi.

 
Siku 30 sio nying acha tusubiri mana hawa jamaa kwa media hawajambo!!!!!
Ila nawatakia kila la kheri kwene matamko yao
 
Back
Top Bottom