Mbunge wangu mnyika,naeshmu kazi yako kwa jinsi unavyojituma. Tambua sina maana mbaya pale ninapokwambia kuwa mwangalifu na pongezi unazopewa na baadhi ya watu ambao binafsi naamini ni adui zetu wa kisiasa.
Nichokuomba zichukulie za kawaida katika kukufanikisha kutekeleza majukumu yako ya kumtumikia mtanzania. Zisijekukufanya ukavimba kichwa na kujiona wewe ndiye wewe mwishowe ukashindwa kuelewana na wenzio ktk kuendeleza chama.
Tambua siku zote hakuna adui yako yeyote atakae kuombe mazuri ingali ya kwamba kufanya ivyo kwake pazidi kuwaka moto.
Mfano mzuri kilicho mtokea zito,kwani walianza kama wanavyoanza kwako. Wakitokahapo wanaanza kukutunuku vinafasi fulanifulani ili unogewe na vimalupulupu,kisha wataanza kukuita private kama ilivyo mtokea zito. Ila nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya katika kukijenga chama.
Mkuu usiwe na wasiwasi kwani he is very much aware of this hidden bad lob....