Yule mbunge mamluki wa CDM ambaye hupenda kuwakandia wenzake kwenye tweeter, facebook, NA JF atakuwa kaumia sana kwa hizi sifa
Du! Ule mwili wa mnyika anaweza kutikisa kweli bunge lote lile.
Mnyika ni sawa na wabunge wa magamba 100
baada ya pongezi hizi mnyika ongeza kasi iko siku kikwete atakupongeza maana uliaema ukweli..
Mh Mnyika aliwahi kumwita mwenyekiti want CCM kama bwana dhaifu. Leo Lukuvi amekubaliana na ukweli huo. Bravo CDM
Hiyo imepita bila kupingwa.kwa hiyo mr dhaifu imepitishwa kama ilivyo pitishwa ya mpumbafu..
Hawa jamaa ni janga kwa taifahawana uwezo wa kuchanganua mambo utashangaa leo wanamuunga mkono lukuvi lakini juzi mnyika alipowaambia ukweli kuwa kikwete ni dhaifu waling'aka kama simba kashikwa makalio..
Mwache alale...hata akikojoa poa tu kuliko kero zake humuHapana hawezi. Ila Lyatonga na Kigoda wanaweza kabisa.
Uwezo wako ni mdogo bora ukakojoe ukalale. Bungeni hawabebi magunia acha upashukuna wewe!
hawa wanajaza sever tu Moderator unganisha au futa kabisa
alitumia maneno ya kuuzi/kejeli dhidi ya JK pale alipomuita DHAIFA- hata kama ni ukweliSio siri kama bunge hili chadema kingepata wabunge kumi tu wenye uwezo kama wa Mnyika tungekuwa tunazungumza lugha nyingine kuhusu 2015, ametulia sana, hana kashfa wala matusi si mbabe, na mara zote amekuwa mbali na makashfa ya ugomvi dhidi ya wenzake, mnyika anastahili pongezi kusema kweli
mimi chadema damu ila namkubali sana mnyika kuliko lissu. Tatizo la lissu anaongea mno kwa jazba hata kama jambo ni dogo
Acha kiherehere kamsifia Mnyika muda mwingi ndio muda gani
Yah naikumbuka hilo tukio.Juzi Spika alimwambia Mnyika wewe tu Mwongozo kila siku haya sema bassi sema Mnyika akamnukulia kifungi kwa kanuni murua Spika akaishia ni kweli nakubaliana nawe kabla ya saa saba nitakupatia jibu ,Mnyika yupo mbali mno anapambana na magamba hata kwa saa tano bila kuchoka bungeni
mimi chadema damu ila namkubali sana mnyika kuliko lissu. Tatizo la lissu anaongea mno kwa jazba hata kama jambo ni dogo