Lukuvi amfagilia Mnyika

Lukuvi amfagilia Mnyika

Mh Mnyika aliwahi kumwita mwenyekiti want CCM kama bwana dhaifu. Leo Lukuvi amekubaliana na ukweli huo. Bravo CDM
 
Mnyika angekuwa MNAMA hata uenyekiti tungempa! ana akili sana!
 
Ni Jambo Jema na muhimu taifa hili kwa maana ya system kutambua vijana potential kama Viongozi wenye upeo na uzalendo wa kweli bila kujali ITIKADI ZA VYAMA.Iwalinde kwa gharama yeyote ili watuvushe na tusonge mbele kwa kasi.Aina ya akina Mnyika hawapo wengi katika siasa.He deserve to become a great leader in future,kama tikichagua ukweli.
 
CDM mwisho wa reli. Vipi zitto wa CCM amepwaya. Ngeleja mpuuuuzi hana kitu kichwani ni kama Le Mutuz. Lukuvi is partial ignorantt
 
hali iliyowashitua wengi, mnadhimu wa bunge mhe. Lukuvi leo ametumia zaidi ya dakika tatu akimusifia kijana machachali aliyewahi kuweka wazi kuwa rais wa nchi hii ni dhaifu na baada ya kutafakali kwa miezi nenda rudi lukuvi amegundua john john mnyika ni kijana makini na anampenda sana pia amempongeza Freeman Mbowe kwa kumteua kuja naye ikulu..

mods naomba msiunganishe na thread nyingine
Du! Ule mwili wa mnyika anaweza kutikisa kweli bunge lote lile.
 
Bavicha kwa matusi hamjambo twende kazi.

Waambie UVCCM wawe wanakubali ibapobidi sio kupinga hata vitu vilivyowazi...wana lengo la kuokomboa nchi au ndo ushabiki wa kununuliwa!?

Ifike mahali muwe wazalendo wa nchi yetu otherwise tamaa na njaa itawaponza kuikosa mbingu.
 
Du! Ule mwili wa mnyika anaweza kutikisa kweli bunge lote lile.

Najua akili zako ziko kwenye mwili na ndio mana mnachagua viongozi kwa kuangalia miili sio akili....wajinga sana nyie....!
Yan wewe na chama chako wote ni vilema wa akili.
nendeni mkajipange mumuombe Mungu awaongezee medula oblangata walau muache kufikiri kwa kutumia ma------.
 
Kwa bunge hili kijana ameonyesha uwezo mkubwa sana kwa kutimiza wajibu wake kutunga sheria kwa kubadili vifungu vingi hasa kwy Muswada wa sheria ya mfuko wa uzeeni GEPF
 
Yule mbunge mamluki wa CDM ambaye hupenda kuwakandia wenzake kwenye tweeter, facebook, NA JF atakuwa kaumia sana kwa hizi sifa
 
Yule mbunge mamluki wa CDM ambaye hupenda kuwakandia wenzake kwenye tweeter, facebook, NA JF atakuwa kaumia sana kwa hizi sifa

Hope alitegemea atasifiwa yeye hahahaa pole yako Zitto
 
Last edited by a moderator:
Mnyika ni mtaji kwenye siasa inayoendeshwa kisayansi.
 
Waambie UVCCM wawe wanakubali ibapobidi sio kupinga hata vitu vilivyowazi...wana lengo la kuokomboa nchi au ndo ushabiki wa kununuliwa!?

Ifike mahali muwe wazalendo wa nchi yetu otherwise tamaa na njaa itawaponza kuikosa mbingu.

hawana uwezo wa kuchanganua mambo utashangaa leo wanamuunga mkono lukuvi lakini juzi mnyika alipowaambia ukweli kuwa kikwete ni dhaifu waling'aka kama simba kashikwa makalio..
 
Back
Top Bottom