mkunyegere
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 453
- 93
Mnyika ana uelewa mpana sana kuhusu sharia,na dhani Lukuvi ameliona hilo
Ni mkweli; anataka kung"oa kucha nini! Gamba linasifu jembe? ???hali iliyowashitua wengi, mnadhimu wa bunge mhe. Lukuvi leo ametumia zaidi ya dakika tatu akimusifia kijana machachali aliyewahi kuweka wazi kuwa rais wa nchi hii ni dhaifu na baada ya kutafakali kwa miezi nenda rudi lukuvi amegundua john john mnyika ni kijana makini na anampenda sana pia amempongeza Freeman Mbowe kwa kumteua kuja naye ikulu..
mods naomba msiunganishe na thread nyingine
Lukuvi amepata ufahamu.
unasumbuliwa na wivu wa kike
John Mnyika akisifiwa na spika au Lukuvi hiyo wala haina tatizo kwanza anaonekana shujaa ila akisifiwa Zitto tu hata kama akisifiwa tu na ZeMarcopolo wa jf huo unakuwa ni usaliti, unafiki, tena katumwa na CCM hao ndio makandaleo pia kasifiwa na spika,maadui wameanza kusifia,tuwe makini