Lukuvi amelidanganya bunge

Lukuvi amelidanganya bunge

nyangasese

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
129
Reaction score
22
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.
 
unajua mbinu hafifu za ufanyaji wa kazi zetu ndo zinasababisha yote haya,so cmshangai muheshimiwa
 
Utashangaa sana mwaka huu. Meli yenyewe haikuwa na Ofisi unategemea atasema nini na yeye kasema kama anavyosikia. LIWALO NA LIWE
 
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.

Tangu jana saa saba mchana hadi leo hii saa tatu asubuhi, bado waziri wa nchi hana hata jina kamili la meli iliyozama? Hicho wanachosema wanafuatilia ni kitu gani?
 
Namchukia sana huyo kiazi, anachofanya bungeni hakieleweki, kazi kuomba miongozo...
 
Hivi Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni ina viongozi? Ama kila raia anajiongoza anavyotaka.
Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.
 
ndo maana tutakwenda jimboni kwake m4c mpaka 2015 tumng'oe
 
Serikali mnayotegemea ifanye mambo yake kwa umakini ndio hii ya m.k.were au? Mwenzenu nilishajichokea kushangaa, siku hizi kauli zote za serikali hii bora serikali huwa nazifanyia uhakiki kabla sijachukua msimamo binafsi!
 
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.

Wewe una kariri au? kwani hiyo meli ni ya kampuni gani?
 
Namchukia sana huyo kiazi, anachofanya bungeni hakieleweki, kazi kuomba miongozo...

Magwanda wote lazima wawachukie Lukuvi na Mwigullu, hakika ni koboko yao. Wamezoea wakisema kitu wananyamaziwa, sasa hizi njemba 2 zinajua udhaifu wa Magwanda ile mbaya.

:flypig:
 
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.
@nyangasese, ebu tupe ukweli, hii meli inaitwaje? Maana hata katika magazeti ya leo kila moja linataja jina lake!
 
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.

Huyu jamaa kila jambo anaufafanuzi wake na hata ikibidi kudanganya ili kuonekana serikali iko safi.
Ni mnafiki ananikera sana
 
Swala liko mahakamani haliruhusiwe kujadiliwa... Washwahili wanasema liwalo na liwe...
 
Haaa haaaa huyu si ndio wale wapambe wake wanamuita Smart Boy? haaaa haaa kumbe hana u smart wowote?
 
Back
Top Bottom