YEYE
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 437
- 72
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.
Ningekuona wa maana na wewe ka ungesema jina halisi ya hiyo meli..