Lukuvi amelidanganya bunge

Hata mkimpeleka Drogba hamuezi kumng'oa Lukuvi.

Ni kweli ila sababu c kwamba yeye Vangimembe ni imara sana hapana! bali wananchi wenyewe wa Isimani bado sana! 2010 Kuna mtu alijjitokeza kutaka kugombea,alichofanya alikuja Dar akamtisha Lukuvi wakati huo RC kuwa atamlipua kwa elimu yake fake alichofanya Lukuvi alim accomodate yule jamaa Seacliff kwa siku kadhaa kisha akamvutia mpunga jamaa akarudi jimboni akafanya usanii kurejesha form basi.
 
Sasa Kama serikali haina taarifa rasmi Hii ni Atali
Apa issue sio Lukuvi but serikali as a whole
Kwa Ajari Hii Nathani ni wakati muafaka kitengo cha Majanga under PM Kupiga Mihela
 
Ametoa taarifa isiyo sahihi kwa niaba ya serikali kwa kusema kuwa meli iliyozama inaitwa "seagul".Nina wasi wasi wasi na umakini wa serikali juu ya suala hili.

Anawaza kutoa mwongozo dhidi ya chadema hana jipya huyo. Laana imamwandama
 
Hata mkimpeleka Drogba hamuezi kumng'oa Lukuvi.
Mbona unamsemea sana we mkewe nini? lakini kaa ukijua kwenye majimbo ya uchaguzi hakuna kuomba miongozo subiri wakati ukifika ndo utajua M4C inafanya kazi kivipi we na huyo mmeo
 
Back
Top Bottom