Lukuvi achana na bomoa bomoa, fuata ushauri huu

Lukuvi achana na bomoa bomoa, fuata ushauri huu

Wewe utakuwa kula kulala. Huna hata kipande cha ardhi hapa duniani.
ytajengaje maeneo ya wazi?
Hata huku Dodoma waje ti
watu mnajijengea hata woga wa kumzibia mwenzako barabara hamna
Sheria iwe msumeno kweli na tarehe 5 January asipoendelea mtakuwa mmeshamloga
Miafrika ndivyo tulivyo Wenzetu wana mipango miji
kwanini msiende na sheria?
 
Bomoabomoa hili zoezi lazima liendelee na kumalizika kwa wakati muafaka ccm mlidanganya watu wsjenge popote kwa ajiri yamatumbo yenu lazima zoezi liendelee.



Swissme
nakubaliana na wewe, bomoa bomoa iendelee kwani kuikatiza itaonyesha upendeleo kwa waliobomolewa wa kwanza, si kila mwanachi lazima awe na nyumba au kuvunja sheria kwa kuendekeza kuwa na nyumba, basi kawa walilijua hili kuwa sehemu sio salama wangejenga kwa bati ili ikifika wakati wa kuondoka wazifungue taratibu, nyumba hazina vioo, hazina mifereji, hatutaki kipindupindu hapa.
 
Kwanza Wale WATENDAJI Wooote WALIOHUSIKA Ktk UGAWAJI Wa VIWANJA Huko Mabwepande Na Maeneo Mengine!! Kunaonekana Kuna MAGUMASHI MAKUBWA MNO, Ktk Mazoezi Hayo!! Au Kuna WALIOPEWA Na KUVIUZA Ama Wagawaji Walicheza Mchezo Mchafu!!! Hivyo Waziri Lukuvi Achunguze Hili!! Mbona WANANCHI WANALALAMIKA Mno Kuhusu Kukosa VIWANJA Hivyo!!!!
 
Back
Top Bottom