keizerjohn
Senior Member
- May 12, 2013
- 113
- 14
Wadau habari,
Nilinunua Luku ya Tsh kwa Mpesa ya Tsh10,000 sikupata tokeni siku hiyo. Ili kujinusuru na Giza nikanunua kwa Airtel Money nikapata ndani ya nusu dakika. Nikajikomboa na Giza kwa siku hiyo. Niliwasiliana na huduma kwa wateja Mpesa wakaniambia niwe na subira. Baada ya siku nne ndio nikapata tokeni zangu nilizonunua kwa Mpesa.
Sasa ishu ni kwamba, nimeingiza token hizo lakini haziongezi salio. Nimewatafuta tena Mpesa huduma kwa wateja hawapokei.
Sasa Wadau naomba ushauri kama mmewahi kutokewa na kitu hiki, je tunatatiaje tatizo holi. Maana units 26.80 hazitaki kucharge.
Naomba ushauri wenu