Luis Fabiano plays with a boy from Tanzania

Watoto wa walalahoi waokota mipira siku hiyo walitoswa walichukuliwa watoto wa vigogo tu hata hao unao waona ni wa vigogo hata wale walio kuwa wanaokota mipira ni wa vigogo tu.
 
Ni kweli mkuu watoto wote wamekaa kineema neema zaidi so sio wa walala hoi
 
Watoto wa walalahoi waokota mipira siku hiyo walitoswa walichukuliwa watoto wa vigogo tu hata hao unao waona ni wa vigogo hata wale walio kuwa wanaokota mipira ni wa vigogo tu.

Ha ha haaa Bongo Ufisadi kila Sehemu, Maskini watoto wa Walalahoi ambao mara Nyingi Mvua ni yao Jua ni lao walitoswa siku hiyo!

Bongo bana kila kitu Michongo tu
 
Kule uingereza watoto wanaopamba mechi ni wale mrginalised ones,kuwapa thamani ya maisha..........huku kwetu ni wale____(please fill in capitals)
 
Watu wengi hapa tunakwenda sooooo off topic....Anyway c vbaya kutoa madukuduku saa nyingine pia.
 
Eti leo asubuhi radio ya watu CLOOODS FFFFFFFFFFFM imemualika kumhoji kwenye Power Breakfast show kweli hii ni radio ya "watu"???
 
Ha ha haaa Bongo Ufisadi kila Sehemu, Maskini watoto wa Walalahoi ambao mara Nyingi Mvua ni yao Jua ni lao walitoswa siku hiyo!

Bongo bana kila kitu Michongo tu

Dar mkuu nilitamani kulia yaani wale watoto wa siku zote tumezoea kuwaona siku ile walipigwa chini lakini ndo hao hao huwa wanawakiwa na jua vile vile ndo hao hao huwa wananyeshewa na mvua wamekuja mastar wanawatosa na kupachika watoto wa vigogo lol.
 
Ingawa picha sijaiona, lakini Logic bado inanipita?watoto wa vigogo kivipi?na faida ya kuokota mpira? Na kuna malipo au faida gani??,...????mhh./sasa ukigogo unaingiaje???humo mh
 
Hao vigogo waliowaleta watoto wao hapo bado wana colonial legacy, washamba wakubwa tu wangewaacha wale wale wa siku zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom