Luhanjo na agenda ya kustaafu

kaka hebu weka c.v yako hadharani acha kututishia kwa maneno kama ya kura za maonihapa au unafikiri unaongea na vihiyo.
 
Ukisikia kuna uteuzi mkubwa umefanyika, lazimauone thread iliyoanzishwa na Kanda2, yenye malengo ya either udini au ukabila. Huyu Kanda2 ni hatari sana kwa taifa. Kama kweli unayohoja weka hapa ushahidi siyo haya majungu.

Hiyo shule aliyoianzisha ni yake binafsi au ya Serikali? Hao WaIringa wanaosoma hapo wanalipa ada/wanalipiwa au wanasomeshwa na Serikali? au WaIringa hawapaswi kusoma?

Kuhusu Sanga weka CV yake na madudu yake ndo tutakuunga mkono. Luhanjo ameshafanya teuzi nyingi kwanini unalalamikia hii moja tu?
 
Back
Top Bottom