Luhanjo na agenda ya kustaafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luhanjo na agenda ya kustaafu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kanda2, Nov 1, 2009.

 1. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  KATIBU MKUU OFISI YA RAIS AMBAYE ANAKARIBIA KUSTAAFU AMEKUWA NA MIKAKATI MINGI IKIWEPO KUWAPA NYADHIFA WATU WA MKOA WA IRINGA HATA KAMA PALE WANAPOKUWA HAWANA SIFA STAHIKI.

  HIVI SASA AMEANZISHA SHULE YA SEKONDARI ILIYOKO KUNDUCHI NA KUJAZA WATU WA IRINGA.

  KATIBU HUYU ALIMPA UKURUGENZI WA SHIRIKA LA PENSHENI BWANA SANGA AMBAYE AMEWAHI KUSHIRIKI KWENYE WIZI WA KUAMINIKA.

  MKAKATI WA LUHANJO HUU HAPA.

  http://issamichuzi.blogspot.com/2009/11/mahafali-shule-ya-w.html#comments
   
 2. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaaaaah! halafu mbaya zaidi ni wakristu(wa Yesu)
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huyu bwana mkakati wake ni kuwapa vyeo watu wa mkoa wa Iringa tu; mfano ni hapo Tamisemi, Toka katibu mkuu mpaka wakurugenzi ni WANYARUKOLO tupu irrespective ya dini zao!! Anatayalisha pension yake kifisadi fisadi!!
   
 4. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Its a Tanzanian Habit.Haishangazi....
   
 5. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mhh mbona kama hizi hoja zimekaa kimajungu majungu hazina substance!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,327
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  I thought kuna some supporting documents kwenye hii hoja....
   
 7. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jamani tufanyeni kazi tuyaache haya majungu, wewe ukiambiwa umtaje hata mtu mmoja ambaye hana sifa na amepewa nafasi na Luhanjo utaweza au tunaandika tu hapa. Na pia vile vile kama kaanzisha shule hiyo ni mali yake na ana haki amweke nani na sio kumpangia jamani. We ulienda kuomba kazi hapo shuleni kwake ukakatiliwa na sifa unazo, isije kuwa ndio ninyi mnaotaka kubebwa sasa imeshindikana mnaamua kumponda
   
 8. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2009
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  acheni majungu jamani
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhh mbona mimi mhehe lakini sijapewa cheo na sifa sina..please stop generalizing hivi vitu bana
   
 10. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibaraka mtoto,usitetee uovu????????????
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Yaani ushahidi wako ni Blog..???
   
 12. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Sanga kapewa ukurugenzi SHIRIKA LA PENSION ana elimu gani kunishinda? Faili la Sanga lina usafi gani wa kupewa kazi LOCAL AUTHORITY PENSION FUND?
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Weka vyeti vyako na CV tukufanyie tathmini.

  Unao uhakika kuwa kazi ya kuteua watu kujaza'nyadhifa' ni kazi ya Katibu Kiongozi ? Na hiyo shule aloianzisha inatumia funds zako? au za taifa for that matter ? Mbona una wivu wa kike?

  Ama kwa hakika wewe kweli ni kandambili BOGUS kabisa..lol
   
 14. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bwana mdogo bila naomba CV yako tafadhali.
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  as i said earlier umasikini na wivu ni kitu kibaya sana..fanya juhudi ya maisha utoke kwatika umaskikini sio kulalamika lalamika tu ..oooh mimi nimesoma kuliko sanga mbona sijapewa kazi..who knows you by the way?
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  uovu upi?majungu,chuki na wivu ndio sifa ya mitanzania mijinga.mnaacha kufanya kazi kwa juhudi mna kazi ya kusema watu tu..mpuuzi mtupu
   
 17. E

  Edo JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Nani kakwambia chief anaondoka??? Bado yupo tele na ataendelea kutesa baada ya 60 yrs. Kama wadau walivyosema, Chief hateui, analetewa mapendekezo anamuingizia muungwana, muungwana akikubali yeye anatangaza walioteuliwa, si kazi yake kuteua vigogo. Nadhani nawewe kama ulivyosema una vyeti na ni mtendaji mzuri, nafasi yako ipo mradi uache majungu !
   
 18. K

  Kijunjwe Senior Member

  #18
  Nov 3, 2009
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1.Katika maelezo yako ungesema sifa za walioteuliwa against wasio teuliwa.
  2. Katika swala la watu wa aina fulani kujazana sehemu moja, sometimes inakuwa influenced na ushauri wa watu wa mahali hapo. Mfano, watu wa kabila fulani wanaweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya kufanya kazi utumishi na hao wa Iringa wakawa advantaged ya kupewa ushauri na hao wenzio waliopo hapo kwa minajili ya ukaribu wao. Hili unaweza kuliona katika fani ya ualimu, walimu wengi hu-influence ndugu zao wenye ufauru kidogo kimasomo kwenda kufundisha badala ya kukaa mtaani.

  3. Hiyo shule ni yake binafsi au ya serikali? Je, umefanya utafiti kujua kama ni ya jumuiya ya wa-Iringa ama lah?
   
 19. O

  Omumura JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sio kusema majungu, hizo ndo za luhanjo na mafisadi wengine waliojazana katika serikali hii ya ccm.
   
 20. f

  fatakifataki Member

  #20
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  we unayesema hayo kuwa wanyalu wanapewa nafasi still tukipitia tunabaini wanazo sifa ni mfitinishaji, maana yake nini hayo unayoyasema? kama nafasi za serikali zinashindanishwa kwa mujibu wa muundo na taratibu za utumishi serikalini we unataka kutuambia nini hapo mjomba.. ok ple sana ila hatudhani kama hadi leo tanzania ina unyalu ama ugogo au hata unyiramba wa kudai vyeo kwa kupeana, la si sahihi kumtuhumu mh luhanjo bila evidence hata hivyo ni kosa under defarmation, jamani tujaribu kuwa logic ........
   
Loading...