Luhanjo kuongezewa miezi 3?

Kuna katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu Peniel Lyimo ,huyu jamaa mchapakazi kwelikweli
 
Mkuu kuongezwa muda si tatizo,Kwa nafasi nyeti kama hiyo kuna mambo mengi muhimu ya Kufinalise, na ukizingatia kuwa yeye ndiye mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais Kuleta mtu mpya Kunaweza zorotesha utendaji, mara nyingi mtu mpya anahitaji muda kabla hajaanza kumudu.
Mbona ikulu kumezorota sana sasa hivi au hapa ndio mzee wa kaya yuko kwenye mafanikio ya juu kwa kiwango chake?
 
Ifike mahala JK awe anasikia maneno ya walala hoi kwani hasiki watu wanajichukulia sheria mkononi kwenda kwenye ofisi yeyote ambayo kiongozi muda wake umekwisha na kumuondoa kwa lazima hao lazima wawe makamandoo. Luhanjo ameezeka sana hata anapoteza kumbukumbu wakati vijana wachapakazi wapi tele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom