Nimejikuta namkubali kwa hoja mujarabu.. CCM hapamfai huyuSijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo...
Too late. Viongozi waandamizi wa CHADEMA wameshaanza kumpost na kumsifia. Ndo mgombea wa urais CHADEMA 2025 endapo Job Ndugai atakataa.Uko sahihi, huyo Mpina ni kama bado analinda Legacy ya Magufuli na wala sio mkosoaji wala chochote. Haya anayojifanya kuyaongea sasa hakuthubutu kuyaongea wakati wa Magufuli. Nawasihi wapinzani wasimuamini huyu tapeli maana analinda zaidi maslahi binafsi.
Too late. Viongozi waandamizi wa CHADEMA wameshaanza kumpost na kumsifia. Ndo mgombea wa urais CHADEMA 2025 endapo Job Ndugai atakataa.
Mkuu, ukiwa waziri na huku ni mbunge! Ni lazima utakuwa upande wa serikali na utalinda kila kitu cha serikali hata kama ni bomu!Huyu jamaa kaamua kuifywata haki, tatizo huwa wanajitambua baada ya kunyimwa ulaji
Changamoto akipewa ulale atatugeuka tenaSijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.
Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.
Anaongea yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
View attachment 2511211
Sahihi. Ila ndg Nape kama asingeenda kusujudu, angefyekelewa mbali. Tukija kwa mpina, ni kweli kwasasa ndiye Goliath wa ccm.Mpina anaweza rudi. CCM haifanyagi makosa kwenye uchaguzi... huyo Mpina atawekwa mstari wa mbele kumpigia Mama kampeni 2025. Hata jiwe hakuwakata majina kina Nape na Januari.
Subiri ateuliwe uone anageuka chapEti saa hizi ndio wanavaa suruali
Kweli kila utawala na zama zake
Akija mkorofi wataanza mapambio tena na kulamba miguu
Inatakiwa kama anakuja mbabe wanamuambia hapo hapo Bunge lote kwa pamoja kuwa hatuna Imani na Rais
Ila walivyo wanafiki wanaenda na upepo unakovuma
Leo Mama mpole na wote wamekuwa wakimya mpaka wapinzani
Yaani leo machinga wa kuingia barabarani na kupora mali kama South Africa na Zimbabwe?
Kweli ukiwa mkarimu wanakunyea watu
Bunge linatakiwa liwe hivyo na wote waongee ukweli bila kuwa wanafiki na kujali matumbo yao
Nakumbjka enzi za hayati alipataga zaga huyu jamaaSijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.
Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.
Anaongea yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
View attachment 2511211
Yeah nadhani watu hawamfahamu vizuri Mpina. Binafsi nilidhani angekuwa Waziri mkuu wa JPM 2015, ila mambo ya kubalance kanda.... ikamuangukia Majaliwa.Hajaanza leo; nakumbuka tangu akiwa na Zitto na Filikunjombe kwenye kamati ya hesabu za serikali 2010.
Tueleze anamsaidiaje kama siyo ngebe ya kutemwa uwaziri na kuendeleza habari zao za uwongo kwa njia ya kum discredit mama Samia?Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.
Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.
Anaongea yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
View attachment 2511211
Kwahiyo wewe katiba mpya ni dhambi sana kuiongelea?Hapana. Ni bora kwenu CHADEMA kwa sababu anaongea maneno mnayoyapenda. Nyie CHADEMA hata Sabaya akijitoa akili na kuanza kuongelea katiba mpya anakuwa bora kuliko wote. Hamjawahi kuwa na msimamo thabiti.
Anakubalika wapi? Mpina 2020 alikuwa amepigwa na ka bwana mdogo ka CHADEMA akatangazwa kwa nguvu!Mpina na Gambo wanajua 2025 hawarudi ndio maana wanashambulia hovyo. Ila kwa uzoefu wangu wa kisiasa Mpina anaweza kurudi kwasababu ya kukubalika jimboni kwake hivyo CCM wanaweza kumvumilia ili wasipoteze jimbo.
Pia ili kutopoteza kura za sukuma gang anaweza akaachwa tu. Gambo hakubaliki kotekote. Akipitishwa kugombea tena 2025 tunaweza kupoteza jimbo kwa upinzani. Gambo hawezi rudi labda ahame chama 2025.