Luhaga ndiye anamsaidia mama bila UnafikiHuyu jamaa kaamua kuifywata haki, tatizo huwa wanajitambua baada ya kunyimwa ulaji
Products zote za jiwe kamwe haziwezi kurejea bungeni 2025.Mpina na Gambo wanajua 2025 hawarudi ndo maana wanashambulia hovyo. Ila kwa uzoefu wangu wa kisiasa Mpina anaweza kurudi kwasababu ya kukubalika jimboni kwake hivyo CCM wanaweza kumvumilia ili wasipoteze jimbo. Pia ili kutopoteza kura za sukuma gang anaweza akaachwa tu. Gambo hakubaliki kotekote. Akipitishwa kugombea tena 2025 tunaweza kupoteza jimbo kwa upinzani. Gambo hawezi rudi labda ahame chama 2025.
Gambo kwa Arusha ajiandae arudi kule Uvinza akaendelee kuuza chumviMpina na Gambo wanajua 2025 hawarudi ndo maana wanashambulia hovyo. Ila kwa uzoefu wangu wa kisiasa Mpina anaweza kurudi kwasababu ya kukubalika jimboni kwake hivyo CCM wanaweza kumvumilia ili wasipoteze jimbo. Pia ili kutopoteza kura za sukuma gang anaweza akaachwa tu. Gambo hakubaliki kotekote. Akipitishwa kugombea tena 2025 tunaweza kupoteza jimbo kwa upinzani. Gambo hawezi rudi labda ahame chama 2025.
Mpina anaweza rudi. CCM haifanyagi makosa kwenye uchaguzi... huyo Mpina atawekwa mstari wa mbele kumpigia Mama kampeni 2025. Hata jiwe hakuwakata majina kina Nape na Januari.Products zote za jiwe kamwe haziwezi kurejea bungeni 2025.
CCM itaweka mgombea mzuri 2025 jimbo la Arusha. Wananchi muwe na subra.Gambo kwa Arusha ajiandae arudi kule uvinza akaendelee kuuza chumvi
Sikiliza!Products zote za jiwe kamwe haziwezi kurejea bungeni 2025.
Watu walisha msahau jiwe kitambo na products zake zinazidi kufyeeekeeelewa mbaliSikiliza!
Products makini za jpm zitapenya KWA kishindo 2025!!
Kama una macho iangalie vizuri NEC iliyotumia wajumbe Mwanza juzi kukinukisha!
Wenye Baraka za yule msemea wamachinga na wenzake Ndio watakaopitisha majina!
Tambua hilo!
Jpm Ndio atakaeamua muelekeo wa siasa zetu akiwa amelala chato!
Huyo mpina anasogeza kete alizotumwa kuzisogeza na uhakika wa hatma yake anaijua wala habahatishi!!
Anazo instruments za KUTOSHA za hicho anachokizungumzia sio KWA Bahati MBAYA!!
Jiwe hakuna alichokifanya zaidi ya kutuharibia nchiSikiliza!
Products makini za jpm zitapenya KWA kishindo 2025!!
Kama una macho iangalie vizuri NEC iliyotumia wajumbe Mwanza juzi kukinukisha!
Wenye Baraka za yule msemea wamachinga na wenzake Ndio watakaopitisha majina!
Tambua hilo!
Jpm Ndio atakaeamua muelekeo wa siasa zetu akiwa amelala chato!
Huyo mpina anasogeza kete alizotumwa kuzisogeza na uhakika wa hatma yake anaijua wala habahatishi!!
Anazo instruments za KUTOSHA za hicho anachokizungumzia sio KWA Bahati MBAYA!!
Ila mtu yeyote akiwa ni m-CCM usimuamini.Angalau ameweza kuthubutu kuliko wale waliapa kuyalinda maovu ya serikali
Kuliko Mpina arudi bungeni hilo Jimbo ni heri wabebe chadema, haiwezekani Tumo kwenye mtumbwi mmoja ye kazi yake ni kuutoboa ili tuzame hatuwezi kuvumilia huu upumbavu 2025 tunamtosa baharini kama yona.Mpina na Gambo wanajua 2025 hawarudi ndo maana wanashambulia hovyo. Ila kwa uzoefu wangu wa kisiasa Mpina anaweza kurudi kwasababu ya kukubalika jimboni kwake hivyo CCM wanaweza kumvumilia ili wasipoteze jimbo. Pia ili kutopoteza kura za sukuma gang anaweza akaachwa tu. Gambo hakubaliki kotekote. Akipitishwa kugombea tena 2025 tunaweza kupoteza jimbo kwa upinzani. Gambo hawezi rudi labda ahame chama 2025.