Luhaga Mpina ndiye mbunge bora kwa sasa

Luhaga Mpina ndiye mbunge bora kwa sasa

Kuliko mpina arudi bungeni hilo Jimbo ni heri wabebe chadema, haiwezekani Tumo kwenye mtumbwi mmoja ye kazi yake ni kuutoboa ili tuzame hatuwezi kuvumilia huu upumbavu 2025 tunamtosa baharini kama yona.
Kwenye uchaguzi CCM huwa kitu kimoja halafu elewa mgombea kushinda kupitia upinzani ni kama bahati nasibu. Mpina anaihitaji sana CCM pamoja na makelele yake.
 
Kwenye uchaguzi CCM huwa kitu kimoja halafu elewa mgombea kushinda kupitia upinzani ni kama bahati nasibu. Mpina anaihitaji sana CCM pamoja na makelele yake.
Hakuna aliyesema kuwa Mpina haitaki ccm bali tumesema yeye ndiye bora kuliko wabunge wengine ndani ya chama chao
 
Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.

Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa ccm wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengere.

Anaongea yaliyofichwa na serikali bila kuogopa .View attachment 2511211
CCM ni walewale hana jipya kama ni akili yake ni suala la muda tu ama vinginevyo ameandaliwa na CCM iliku-balance equation hapo mjengoni
 
Hakuna aliyesema kuwa Mpina haitaki ccm bali tumesema yeye ndiye bora kuliko wabunge wengine ndani ya chama chao
Hapana. Ni bora kwenu CHADEMA kwa sababu anaongea maneno mnayoyapenda. Nyie CHADEMA hata Sabaya akijitoa akili na kuanza kuongelea katiba mpya anakuwa bora kuliko wote. Hamjawahi kuwa na msimamo thabiti.
 
Huyo jamaa haulizi au hachangii kwa maslahi ya nchi ila kwa chuki ya kutaka kuidhalilisha Serikali ya Samia. Hiyo ni tofauti na uchangiaji wa TL au Zitto ulivyokuwa.

Ndio maana jambo hilohilo ataliuliza au kulichangia kila kikao huku akijua kabisa kwanini jambo husika lipo kama lilivyo cause anataka kuonyesha Samia ni dhaifu.

No wonder Mpina amekuwa akichangia hivyo kipindi hiki tu lakini alishona mdomo kipindi cha jiwe. Mnaemuona huyu ana akili mjitafakari sana.
 
Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.

Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.
...

Mkuu huo ni mchezo tunachezewa, huyo anaandaliwa kuja kuvuruga upinzani. Usitoe promo kwa huyo muhuni. Nijuavyo hakuna bunge bali kuna majizi ya kura ndani ya ukumbi wa bunge.
 
Mkuu huo ni mchezo tunachezewa, huyo anaandaliwa kuja kuvuruga upinzani. Usitoe promo kwa huyo muhuni. Nijuavyo hakuna bunge bali kuna majizi ya kura ndani ya ukumbi wa bunge.
Utalia mpaka lini? [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwambie mungu wako aondoe hayo majizi bila kumwaga damu
 
Huyo jamaa haulizi au hachangii kwa maslahi ya nchi ila kwa chuki ya kutaka kuidhalilisha Serikali ya Samia. Hiyo ni tofauti na uchangiaji wa TL au Zitto ulivyokuwa....
Uko sahihi, huyo Mpina ni kama bado analinda Legacy ya Magufuli na wala sio mkosoaji wala chochote. Haya anayojifanya kuyaongea sasa hakuthubutu kuyaongea wakati wa Magufuli.

Nawasihi wapinzani wasimuamini huyu tapeli maana analinda zaidi maslahi binafsi.
 
Mpina ni binadamu hatari ni mnafki asiye hata na haya. Kipindi cha Magufuli akili alimkabidhi nani km huko kubwabwaja ndio akili. Anajaribu kumhujumu rais aliye madarakani haamini km Magu amekufa.
Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.

Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.

Anaongea yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
View attachment 2511211
 
Wabunge kutoka kanda ile kwa kweli nawapa sifa stahiki, vyovyote itakavyo onekana lakini luhaga mpina, jumanne Kishimba, msukuma ni wabunge bora kwa upande wangu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom