Luhaga Mpina ndiye mbunge bora kwa sasa

Luhaga Mpina ndiye mbunge bora kwa sasa

Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.JIla angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.

yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
Mtakapokuja kugundua kuwa serikali ya awamu ya sita ni magumashi, isuyojua inaenda wapi, yatakuwa tumeumia sana
 
Kwahiyo wewe katiba mpya ni dhambi sana kuiongelea?

Hivi nyinyi ma ccm nani kawaroga?
Katiba mpya ni muhimu hata kwa CCM ila jinsi mnayoipeleka hiyo agenda sio sahihi. Mnaitaka katiba kwa kutaka tu madaraka.. CHADEMA mnacholilia kwenye katiba hasahasa ni serikali tatu, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa mwananchi zaidi ya kumwongezea mzigo wa kuwalipa watawala wapya wa serikali tatu.
 
Sikiliza!

Products makini za jpm zitapenya KWA kishindo 2025!!

Kama una macho iangalie vizuri NEC iliyotumia wajumbe Mwanza juzi kukinukisha!

Wenye Baraka za yule msemea wamachinga na wenzake Ndio watakaopitisha majina!

Tambua hilo!

Jpm Ndio atakaeamua muelekeo wa siasa zetu akiwa amelala chato!

Huyo mpina anasogeza kete alizotumwa kuzisogeza na uhakika wa hatma yake anaijua wala habahatishi!!

Anazo instruments za KUTOSHA za hicho anachokizungumzia sio KWA Bahati MBAYA!!
Mpina yupi mkuu? Mbona aling'olewa ujumbe NEC mkoa na kitaifa na hakuna kelele zozote?? Mnamkuza tu huyo, Wabunge wanaamuliwa na Mwenyekiti na sio vinginevyo.
 
Katiba mpya ni muhimu hata kwa CCM ila jinsi mnayoipeleka hiyo agenda sio sahihi. Mnaitaka katiba kwa kutaka tu madaraka.. CHADEMA mnacholilia kwenye katiba hasahasa ni serikali tatu, kitu ambacho hakina faida yoyote kwa mwananchi zaidi ya kumwongezea mzigo wa kuwalipa watawala wapya wa serikali tatu.
Mzigo upi wakati bunge linapunguzwa Hadi watu 75 pekee pia wakuu wa wilaya wanafutwa kazi zao kufanywa na ma DED au wenyeviti wa halmashauri n.k
 
Sijui kama ameandaliwa makusudi au vinginevyo.

Ila angalau kwa sasa anaonyesha kuwa wabunge wa CCM wote yeye ndiye anaweza kumfunga paka kengele.

Anaongea yaliyofichwa na Serikali bila kuogopa.
View attachment 2511211
Hana lolote huyu. Ni tapeli na msanii tu.

Alipokuwa amepewa madaraka na dikteta Magu alitesa wavuvi na wafugaji sana! Akaona haitoshi akaanza kupima samaki kwa rula kwenye migahawa. Ni mtu wa hovyo kwelikweli!
 
Mpina na Gambo wanajua 2025 hawarudi ndio maana wanashambulia hovyo. Ila kwa uzoefu wangu wa kisiasa Mpina anaweza kurudi kwasababu ya kukubalika jimboni kwake hivyo CCM wanaweza kumvumilia ili wasipoteze jimbo.

Pia ili kutopoteza kura za sukuma gang anaweza akaachwa tu. Gambo hakubaliki kotekote. Akipitishwa kugombea tena 2025 tunaweza kupoteza jimbo kwa upinzani. Gambo hawezi rudi labda ahame chama 2025.
Mpina hajawahi kushinda ubunge huko kwao. Alikuwa mbunge wa kuchongwa na Magu.
 
Hana lolote huyu. Ni tapeli na msanii tu.

Alipokuwa amepewa madaraka na dikteta Magu alitesa wavuvi na wafugaji sana! Akaona haitoshi akaanza kupima samaki kwa rula kwenye migahawa. Ni mtu wa hovyo kwelikweli!
Ndani ya ccm nani msafi?
 
Mpina yupi mkuu? Mbona aling'olewa ujumbe NEC mkoa na kitaifa na hakuna kelele zozote?? Mnamkuza tu huyo, Wabunge wanaamuliwa na Mwenyekiti na sio vinginevyo.
Duuu ama kweli ccm ni chukua chako mapema
 
Back
Top Bottom