Kampuni ya Lugumi imesema kama kuna mtu anaona kuna shida kati ya mradi wake na Jeshi la Polisi aende Mahakamani..
Wanasheria pitieni andiko la Lugumi mtwambie kama kuna mgogoro ili twende mahakani.
Pia anasema yuko nchini wala hana mpango wa kutoroka maana ile dili ni safi.