Naibu waziri Mazingira Mh.Kangi Lugola atoa siku 14 kwa uongozi wa mgodi wa dhahabu wa ACACIA, Bulyanhulu mkoani Shinyanga kuondoa zaidi ya tani 100 za kifusi cha vyuma chakavu na Magurudumu, taka ambazo zimerundikana kwenye mazingira ya mgodi huo kwa kipindi cha miezi miwili sasa