Lugola atoa siku 14 kwa uongozi wa Acacia, Bulyanhulu kuondoa kifusi na taka kwenye mazingira ya mgodi

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Naibu waziri Mazingira Mh.Kangi Lugola atoa siku 14 kwa uongozi wa mgodi wa dhahabu wa ACACIA, Bulyanhulu mkoani Shinyanga kuondoa zaidi ya tani 100 za kifusi cha vyuma chakavu na Magurudumu, taka ambazo zimerundikana kwenye mazingira ya mgodi huo kwa kipindi cha miezi miwili sasa
 
Wasipo ondoa atawafanya nini??....atafunga mgodi au atawapiga fine?? Angejikita kutatua kero....za wananchi....
 
Back
Top Bottom