Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Tegemezi nae anategemewa, ahudumiwe ili aweze kuhudumia.
Chanzo ni nini?
Nilidhani kila mkipishana kwenye korido mnakiss 😂
😂😂😂Wanatutisha tuNilidhani kila mkipishana kwenye korido mnakiss 😂
Nimetishika sana kwa kweli 😂😂😂😂Wanatutisha tu
mama kaenda kunyonya kwa mama.Mama ana mtoto, na mtoto naye ana mtoto
Nimesikia Kuna kuomba Tena hupewi hivohivo lazima ubembeleze 😂😂Nimetishika sana kwa kweli 😂
Mi nilijua ni kila mkutanapo imo.
😂 itabidi nianze kujifunza uvumilivu ili ndoa idumu.Nimesikia Kuna kuomba Tena hupewi hivohivo lazima ubembeleze 😂😂