Lugha ya mapenzi

Habari za wakati huu, ni wikendi tulivu inayosindikizwa na manyunyu ya mvua tokea viunga vya hapa Kigamboni-Kibada.

Moja kwa moja niende kwenye mada, nimekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa mwaka na nusu and we're sexually active kwa wakati wote huo!

Kwangu ni mahusiano ya kwanza katika maisha yangu so kuna vitu nakuwa sina ufahamu navyo naishia kuongea naye kama mshikaji tunaepanga mipango ya maisha tu.

Sasa baby kaishiwa ustahmilivu kanifungukia kuwa "tuwe tunaongea lugha ya kimapenzi" but nimeishia kusema ndio ila sijui ni nini na ina maanisha nini.

Wakuu wenye uelewa naombeni msaada kuelimishwa juu ya hili kwa experience zenu huko kwenye mahusiano yenu.
Tarime hizo lugha hakuna na mambo yanaenda. Mwambie mambo ya watu wengine wee huwezi kuyaiga
 
lugha ya mapenz ni kuzungumza na hisia za mwenza wako kwa vitendo....

hapa unafanya ubunifu wa kumshow love kwa vtendo nje ya faragha, mfano unaweza mtumia txt nzur or suprise or kumtamkia maneno mazuri ukiongea nae
Shukran mkuu umenitoa tongo tongo
 
usipochange akija mjanja anaembebisha vzuri ujue itabaki story, kuwa romantic kwa mpenz wako ila iwe kwa kias ukizdsha utaelemewa, mengine washasema wakuu wengine.
 
Kuna kitabu kinaitwa 5 love languages kuna
Affirmation words
Quality time
Gift
Nk nyngne 2
Tafuta usome utapata kitu pia ujue lugha ya demu wako hapo utamfurahisha mno
 
Kuna kitabu kinaitwa 5 love languages kuna
Affirmation words
Quality time
Gift
Nk nyngne 2
Tafuta usome utapata kitu pia ujue lugha ya demu wako hapo utamfurahisha mno
Mfano : unamuomba appointment kukaa sehemu kuzungumza wawili anaipiga chini kwa sababu light, unampa gift ila ile expression haioneshi kama kaifurahia ....n.k

Mkuu hakuna mbinu ya kujua lugha ya mapenzi ya mwenzio? Je ni busara kumuuliza direct?
 
Kama ni kanda maalum.
Piga makofi, piga rungu la bega
Usipofanya hivyo huna Mapenzi
 
Mfano : unamuomba appointment kukaa sehemu kuzungumza wawili anaipiga chini kwa sababu light, unampa gift ila ile expression haioneshi kama kaifurahia ....n.k

Mkuu hakuna mbinu ya kujua lugha ya mapenzi ya mwenzio? Je ni busara kumuuliza direct?
Mmmhh mbona kwa maelezo yak9 n kama hana furaha na ww, kuna sehemu unakosea kuwa makini hapo isije kuwa yy hayupo tena kimawazo na hisia, yamebakia mazoea tu
 
Back
Top Bottom