BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Kizungu si kisukuma.
Haha kaka una utanieee....
View attachment 54771 aisee..kidhungu kitamuu!!
huyu lazima kasoma hivi vyuo vya kata.
hata ww unaesoma hapa sio kwamba unaafadhali ni wale wale sema tu hatujakubamba
elly_black, Wasukuma watakumind!sio utani ila kiukweli kimombo ni kazi kweli.
Kizungu si kisukuma.
Heheeee mi mefika mpaka kwa malkia queen elizabeth .chezea lugha wewe watu swaga mdomon kuandika sasa heheeee ni vitaa chezea grammar hihiii mi akuu niponipo na hiv ndo hatujasona nusery tumesoma vidudu,sio primary bali msingi ndo kabiiisaa ze ze nying
View attachment 54771 aisee..kidhungu kitamuu!!
lol. i could write better than that when i was in class 4