hayo ni maneno tu bali maana tufauti, mbona japan kuna neno au majina kama kumamoto, takauchi, na mengine yanayoshindikana hata kutamkwa inategemea unawaza nini unapotaka sema au unapopokea ujumbe.
Kuna kabila hapa Tz Nyola maana yake mbaya sana kuitaja lakini kwa kabila lingine neno hilohilo maana yake finya, senga lina maana ya ng'ombe kwenye kabila moja na kwa jingine ni chenga hasa za mchele