unamuita mtoto wa kike mwanangu badala ya binti yangu huna tofauti na huyu
usiku mwema
Hahhahaaaaa good bless you my son..
.! Pathetic!
Pengine ni mtoto wa kiMasai.
Unajua kwa waMasai wavulana ndio wanaremba nywele na wasichana wananyoa upara.
unamuita mtoto wa kike mwanangu badala ya binti yangu huna tofauti na huyu
usiku mwema
Halafu wanavaa magauni?
CC: masai dada