lugha gongana

You are right atakuwa anaongea na simu...
 
Inanikumbusha nikiwa Form one, mwalimu wangu wa somo la French nililochagua kama optional subject, baada ya mwezi wa kwanza kupita ambapo walimu wote walikuwa wakifundisha English course, aliingia darasani kufundisha somo lake na hakutaka tena kutumia English kama tulivyomzoea, ilikuwa ni lugha gongana kwa kwenda mbele.
 
aahahahah...mbavu sina tohoa neno "KIFYONZEO??" , kwani ni sawa na kutohoa neno "gonga".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…