F fired JF-Expert Member Joined Apr 4, 2021 Posts 233 Reaction score 521 Apr 21, 2026 #1 Mvuta bangi alikua anaongea na mlaji miraa. Mlaji miraa akauliza mvuta bangi kama india ni mbali na tanzania. Mvuta bangi akasema ni karibu kwa sababu mkubwa wangu mhindi huja na baiskeli kila siku kutoka india asubuhi kazini
Mvuta bangi alikua anaongea na mlaji miraa. Mlaji miraa akauliza mvuta bangi kama india ni mbali na tanzania. Mvuta bangi akasema ni karibu kwa sababu mkubwa wangu mhindi huja na baiskeli kila siku kutoka india asubuhi kazini
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,534 Reaction score 16,024 Apr 21, 2026 #2 Acha utoto sio ukijiskia kutype unajiandikia utumbo tu