Lugha gani inayokuja wakati ukiwa ndotoni? acheni mbwembwe

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,826
1,734
Waungwana labda tuulizane japo tunajifanya wazungu hivi kiukweli ni Lugha gani mnatumia mnapoota usiku! the language of your dream ndio Lugha yako, ndio utambulisho wako, acheni mbwebwe
 
Back
Top Bottom