Lugalo Military Medical School

Lugalo Military Medical School

idrissi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
512
Reaction score
433
Habari wakuu

Kwa mwenye ufahamu wa ada halisi ya Lugalo atuambie maana nimepata joining yao inaonesha ada ni zaidi ya milioni 2 kwa mwaka,halafu kwenye guide book ada ni 1,130,400 sasa najjuliza ipi sahihi maana kama ni kweli hiki chuo kina ada ya zaidi ya 2milioni basi haina haja kukiita cha serikali maana hakina unafuu kwa hali ya watu wa chini.

Anayejua zaidi hasa anayesoma hapo atuambie vizuri
 
JF bwana....
Sitaki kuamini kama wote ni great thinker....
 
Habari wakuu

Kwa mwenye ufahamu wa ada halisi ya Lugalo atuambie maana nimepata joining yao inaonesha ada ni zaidi ya milioni 2 kwa mwaka,halafu kwenye guide book ada ni 1,130,400 sasa najjuliza ipi sahihi maana kama ni kweli hiki chuo kina ada ya zaidi ya 2milioni basi haina haja kukiita cha serikali maana hakina unafuu kwa hali ya watu wa chini.

Anayejua zaidi hasa anayesoma hapo atuambie vizuri
Wasiliana chuo chief....
 
Nimeelewa kiongozi ila nimeshangaa gharama kuwa kubwa mfano vyuo vingine vya serikali Hostel ni 150'00/= wakati lugalo 350,000/= umeona hapo ilo gepu
Utakuwa hujaelewa maelekezo dogo, kaa chini usome kwa makini usisome utadhani unasoma uzi wa kiduku lilo hapa jf. Ukijumlisha na gharama zingine lazima igonge 2M+.

Cc Unforgetable
 
Narekebisha hostel 150,000 kwa 350,000
Nimeelewa kiongozi ila nimeshangaa gharama kuwa kubwa mfano vyuo vingine vya serikali Hostel ni 150'00/= wakati lugalo 350,000/= umeona hapo ilo gepu
 
Itakuwa hiyo 2m ni kwa mwaka mzima,so hiyo 1m ni kwa semister..soma vizuri guidebook yao vizuri wewe ni mwanafunzi
 
Back
Top Bottom