donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Happy weekend wakuu,
Hahah umekaa wap mkuuHaaaa tupo wote nakuona hapo
Wanaanzaje kwa mfano?Jamaa wa TRA wakitua hapo watawasomba wote na opposite yenu...
HahahaKumbe ndio hapo umejibanza ukutani......!!
Happy weekend wakuu,
View attachment 663528
Kweli kaka. Halaf according to your id, inaonekana mimi na wewe ni familia mojaYou Find Him I'll Fix Him; kwenye hicho kitabu ndo nilikutana na msamiati wa "Alibi", na kila nikikutana na hili neno nakumbuka hicho kitabu.
Mkuu kweli umeniona? NimevaajeUkutanii...
Nimevaaje mkuuKumbe ndio hapo umejibanza ukutani......!!
Kweli kaka. Halaf according to your id, inaonekana mimi na wewe ni familia moja
Siwezi kukuambia pengine niliyekuona ni mimi mwenyewe tu....!!!Nimevaaje mkuu
Mimi ndie fingerless luccheseDon Clericuzio, kwenye novel ya The Last Don by Mario Puzo...
Nilimwelewa sana kwenye leadership ya familia yake.
Shukran mkuu maana kweli nlikua ukutaniSiwezi kukuambia pengine niliyekuona ni mimi mwenyewe tu....!!!
Shukran mkuu maana kweli nlikua ukutani
Thanks famOk
Have a nice moment
Stay blessed