Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Mtela nakushauri urudi kwenye kituo chako cha kazi ukafundishe,na ni baada ya kuona hata ukirudi cdm,utaanza kutusimulia mambo ya ccm ambayo tunayajua na hatimaye utuboe tu! Mwambie na da Juli
 
Hakuna kiongozi yoyote makini wa CDM anayeweza kuingia kujibu pumba hizi,
Huyu jamaa anataka kuendeleza malumbano na CDM kwani kwa njia hiyo tu posho yake Lumumba inapanda.

Niweke tu kumbukumbu sahihi. Sijawahi kuhojiwa wakati wowote ule na maafisa wa polisi kuhusu Deus Mallya, ni kweli kwamba kwenye mkutano na wanahabari niliwahi kuulizwa swali iwapo Deus ni mtumishi au afisa wa makao makuu ya chama. Nilikana kwa sababu hakuwahi kuwa mtumishi wa makao makuu ya chama. Kuhusu kwenda Libya, nilikuwa mkurugenzi wa vijana wakati huo, safari yake hakutumwa na kurugenzi niliyokuwa naiongoza.

Mwampamba kwa kuwa uko CCM sasa waulize wakina Makamba mawasiliano ya CCM wakati huo ikiwemo ile fax, kabla na baada ya kifo cha Wangwe (Mungu amlaze mahali pema), badala ya kuandika tu uongo wenye mwelekeo wa propaganda chafu.

JJ

Mkuu Mbutaiyo,
Umeona jinsi ulivyo huijui chadema na viongozi wake. Mko wengi mnaodhani mnaijua chadema na vongozi wake kumbe uhalisia wake hamuujui. Ndio maana watu wanaojali maslahi ya taifa letu wanajitahidi kuwapa taarifa sahihi kuhusu chama hiki. Sasa jifunzeni kutoka hapa.

Mnyika, wewe ni hodari wa kuuliza maswali lakini kwenye kujibu maswali siku zote umekuwa na tabia ya danadana. Hujibu swali lililo mbele yako, na ninaamini lengo lako ni kuendelea kuwalaghai vijana ili wasijue ukweli.

Ulipoulizwa kama una degree, jibu lako lilikuwa "nimesoma chuo kikuu miaka mitatu". Come on, hujaulizwa umesoma miaka mingapi chuo, umeulizwa una degree?

Leo unaelezewa kuwa umemkana kijana Deus Mally ambaye mmefanya nae shughuli nyingi za chama. Jibu lako unasema "Deus hakuwa mtumishi au afisa wa Makao makuu". Come on, issue sio kama ameajiriwa na Makao Makuu, issue ni kama umeshawahi kufanya nae kazi za chadema Makao makuu. Sasa simama HAPA ukane kuwa hujafanya kazi za chadema Makao Makuu na Deus Mallya.

Wasomaji wa thread hii wanapaswa kunotice kuwa Mnyika hajasema kitu juu ya msamaha aliomuomba Deus Mallya. Msifikiri hiyo imetokea accidentally...
 
Mngejua wananchi tunachohitaji,wala msingekalia kubishania upuuzi...tena mnaobishana hapa,ni vijana ambao soon mtakua viongozi.Wananchi hatuhitaji majungu,porojo,chuki n.k,tunataka barabara bora,ajira kwa vijana wetu,kusimamia vyema rasilimali zetu na mengine meengi yenge mitazamo hiyo....Mnapokaa hapa na kuanza kubishana eti kama kijana flan alikua anafanya makao makuu au la...kwangu mimi ninayehitaji maendeleo nawaona wapuuzi kabisa....Na wewe mleta hoja siku nyingine utupe habari za maendeleo,ili tujue apart from majungu na kufuatilia mambo ambayo hayana tija ubongo wako hufikiria vitu gani vya kumsaidia mtanzania.Baadhi ya wanasiasa vijana wa Tz mnaboa sana.
 
Wachangiaji nyote mko sahihi kulingana na hisia mlizonazo za vyama vyenu na Mwampamba yawezekana pia akiongeacho pia ni sahihi.
Naweka angalizo kwa wana CCM Mwampamba bado CDM ametumwa CCM kwa style mnayoiona hapo kwenye vyuzi vyake!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hoja ni nzuri katika kipindi hiki cha uwazi, na ikiwa tu ina ukweli usiopendelea upande mmoja. Muhimu sana na kusikia kutoka kwa mwenyewe pasipo kusemewa. From the horse mouth(Deus himself) with evidence.
 
Naomba uwabainishie Umma wa wanaJF kuwa lipi katika niliyoyaandika hapo juu si sahihi kuhusiana na DEUS na kukanwa kwake na watu hao. Na kwa bahati nzuri hatukuwa tunafanya mazungumzo ya mdomo pekee, ninazo meseji za simu na hata kauli za Mallya kwenye inbox yangu ya facebook yanaeleza haya niliyoyaeleza hapa.Naomba kabla haujachelewa na kuonekana ni miongoni mwa wenye ukame wa fikra, njoo hata kwa kutunga uongo wako ubainishe ni kipi si sahihi ama ni uongo katika hayo niliyoyaandika.
Sasa na wewe kweli mkavu wa fikra kweli...yaani inamaana unashindwa kuandaa Inbox SMS na Facebook Msg kabla ya kuja na hii thread?? Weka hoja za msingi kutetea wazo na mtazamoa wako, na si Inbox za Simu na Facebuk yako ambazo unakaa na kuwa na PIN zake wewe mwenyewe
 
Mkuu Mbutaiyo,
Umeona jinsi ulivyo huijui chadema na viongozi wake. Mko wengi mnaodhani mnaijua chadema na vongozi wake kumbe uhalisia wake hamuujui. Ndio maana watu wanaojali maslahi ya taifa letu wanajitahidi kuwapa taarifa sahihi kuhusu chama hiki. Sasa jifunzeni kutoka hapa.

Mnyika, wewe ni hodari wa kuuliza maswali lakini kwenye kujibu maswali siku zote umekuwa na tabia ya danadana. Hujibu swali lililo mbele yako, na ninaamini lengo lako ni kuendelea kuwalaghai vijana ili wasijue ukweli.

Ulipoulizwa kama una degree, jibu lako lilikuwa "nimesoma chuo kikuu miaka mitatu". Come on, hujaulizwa umesoma miaka mingapi chuo, umeulizwa una degree?

Leo unaelezewa kuwa umemkana kijana Deus Mally ambaye mmefanya nae shughuli nyingi za chama. Jibu lako unasema "Deus hakuwa mtumishi au afisa wa Makao makuu". Come on, issue sio kama ameajiriwa na Makao Makuu, issue ni kama umeshawahi kufanya nae kazi za chadema Makao makuu. Sasa simama HAPA ukane kuwa hujafanya kazi za chadema Makao Makuu na Deus Mallya.

Wasomaji wa thread hii wanapaswa kunotice kuwa Mnyika hajasema kitu juu ya msamaha aliomuomba Deus Mallya. Msifikiri hiyo imetokea accidentally...

mkuu uko sahihi sana kwenye hii kitu hapa.....!
 
Ukifuatilia sana ulivyo makini na mada za mnyika na unavyoandika kuhusu sakata la Ludovic inaonyesha kanisa na wewe pia ni muhusika ,nadhani kwa mnyika unatwanga maji kwenye kinu hutamuweza na kakufunika kabisa,
 
Mtela nakushauri urudi kwenye kituo chako cha kazi ukafundishe,na ni baada ya kuona hata ukirudi cdm,utaanza kutusimulia mambo ya ccm ambayo tunayajua na hatimaye utuboe tu! Mwambie na da Juli
nyie kila mtu akiwa tishio kwenu mnamshauri aache siasa
 
Maji taka na wivu wa kike,ushakula talaka tatu CDM endelea ku2mika kwa bwn ako mpya,kabla ya kukata pumzi ya mwisho kisiasa ndipo uje nikupe shule ya kata maeneo ya Laela pale ufundishe na kulima mahnd.

Laela kunanini
 
Umetumwa na chama chako kuomba msamaha kwa MWAMPAMBA nini? mkuu ukumbuke Mwampamba anawafungua watanzania waelewe kinachoendelea ndani ya vyama vyetu vya siasa, hana lengo na sidhani ana uwezo kukiua CHADEMA lakini ukweli ni kwamba kupitia post zake watanzania watakuwa wamejifunza na hata wanapokurupuka kuvishabikia vyama hivi wajue wakabisa ni majanga na havina nia njema kwa msatakabali wa taifa letu ambalo amani yake mwasisi wake ni CHAMA CHA MAPINDUZI

Hizo pumba ulizoandika nina uhakika ni matokeo ya hilo jicho lako la 3. Kazi ya jicho la 3 ni kutoa kinyesi mwilini lakini wewe umeamua kulitumia kufikiri. Astaghfirullah.
Usiku mwema Jicho La Tatu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Deus Mallya kashaweka ukweli wote kule facebook kwamba ulimuomba msamaha kwa kumkana wewe unaendeleza porojo hapa pole sana .Ama kwa hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza .R.I.P CHACHA WANGWE

Nyie mwisho wenu utakuwa kama wa akina Kabourou, Tambwe, Lamwai. Tofauti ni kuwa nyinyi mmenunuliwa kwa bei chee sana. Mtaendelea hivyo hivyo kuwa mavuvuzela, mkishaishiwa vya kusema mnapigwa chini. Historia ni Mwalimu mzuri sana.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mngejua wananchi tunachohitaji,wala msingekalia kubishania upuuzi...tena mnaobishana hapa,ni vijana ambao soon mtakua viongozi.Wananchi hatuhitaji majungu,porojo,chuki n.k,tunataka barabara bora,ajira kwa vijana wetu,kusimamia vyema rasilimali zetu na mengine meengi yenge mitazamo hiyo....Mnapokaa hapa na kuanza kubishana eti kama kijana flan alikua anafanya makao makuu au la...kwangu mimi ninayehitaji maendeleo nawaona wapuuzi kabisa....Na wewe mleta hoja siku nyingine utupe habari za maendeleo,ili tujue apart from majungu na kufuatilia mambo ambayo hayana tija ubongo wako hufikiria vitu gani vya kumsaidia mtanzania.Baadhi ya wanasiasa vijana wa Tz mnaboa sana.

Huwezi jifanya ni upuuzi wakati unajua fika ktk hili kuna mengi ya kujifunza juu ya mwenendo wa chama chenu.kujadili maendeleo ni pamoja na kuhoji mienendo ya vyama vinavyopigana kushika dola.mlimkana Deus na sasa memkana Ludo.kesho utakanwa ww ushangae...
 
Hoja ni nzuri katika kipindi hiki cha uwazi, na ikiwa tu ina ukweli usiopendelea upande mmoja. Muhimu sana na kusikia kutoka kwa mwenyewe pasipo kusemewa. From the horse mouth(Deus himself) with evidence.

Kwa kuangalia majibu ya mnyika,sina shaka na ukweli wa hii hoja.
 
Ukifuatilia sana ulivyo makini na mada za mnyika na unavyoandika kuhusu sakata la Ludovic inaonyesha kanisa na wewe pia ni muhusika ,nadhani kwa mnyika unatwanga maji kwenye kinu hutamuweza na kakufunika kabisa,

Usimtishe,ktk hili mnyika amejibu kizembe mno jambo linalotupa ishara mbaya.watu wanaeleza tusiyoyajua ambayo yanazidi kuwaacha uchi,kufunikana mtajua nyie hapa tunataka kupata facts.
 
Mtela mkumbuke Frenk Magoba na Tambwe Hizza watakuambia kuhusu ccm acha maneno ya kanga kaka.
 
Mtela mwampamba ww ni mburura mkubwa.Yaani magamba yanakulipa kwa hoja zako za uongo na za kijinga kiasi hicho!!! Kijana kweli unatumika vibaya,Ungekuwa mwanamke sijui ingekuwaje.Acha umalaya wa kifikra
 
Huwezi jifanya ni upuuzi wakati unajua fika ktk hili kuna mengi ya kujifunza juu ya mwenendo wa chama chenu.kujadili maendeleo ni pamoja na kuhoji mienendo ya vyama vinavyopigana kushika dola.mlimkana Deus na sasa memkana Ludo.kesho utakanwa ww ushangae...

KWA TAARIFA YAKO SIFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE..MAENDELEO HAYANA VYAMA KAKA/DADA.......HATA CCM WAKIFANYA MAMBO YENYE TIJA KWA WANANCHI,NITAWA'SUPPORT.....!!!:rockon:
 
afu hivi unajua kuwa hiyo kazi unayoifanya ya kuichafua chadema mitandaoni kwa niaba ya ccm haina hata malipo ya uzeeni, hivyo viposho mbuzi vitakuponza kijana
i will tell yoou one more tim: plz get a job, a real one
at least utakuwa unachangia nguvu kazi katika taifa not like this non-sense!
na wewe na yule dada yako mtaisoma mwaka huu..
teh teh teh
 
Back
Top Bottom