Kwa taarifa za hivi punde ni kuwa kijana Ludovick amechukuliwa kutoka gerezani alikopelekwa juzi Segerea na hivi sasa amepelekwa mahakama kuu , kufanya nini, bado nawashauri mfuatilie ila kuna taarifa za awali kuwa wanaweza kwenda kusoma Nolle na kumtoa nje ya kesi bila jasho .
Naendelea kufuatilia , mlioko pande za mahakama kuu .....julisheni JF.
UPDATES .
Amepelekwa mahakama ya Kisutu na amepewa kibali rasmi sasa cha kwenda kuhojiwa na polisi , baada ya kumrejesha juzi magereza kutokana na kushikiliwa na polisi kinyemela sasa ameombewa kibali rasmi na mahakama imeruhusu hilo , jambo ambalo ni kinyume na utaratibu kwani kama ameshafikishwa mahakamani yeye kama angekuwa na wakili angekataa kuhojiwa na kusema kuwa mengine atayasema mahakamani .
Sasaameshaondoka na Polisi rasmi na atakuwa kwenye mahabusu za polisi , tutaendelea kujulishana