Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
pole sana kwa yaliyomkuta bwana mkubwa ila mbona kwenye picha wanaonekana watoto wengi haoni anajidhalilisha?
diwani mwenyewe sungura,,haya magamba aisee
nape upo?
if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu
Mwaka huu hadi 2015 tutashuhudia mengi, maana hii ya kupiga magoti na microphone mbele ya watoto wa shule maana yake mambo magumu.
if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu
Duh! siasa za bongo kiboko, mi nilifikiri haya mambo ni wakati wa kampeni tu!!!!!! almost 8 months down the line mwendo ni ule ule wa akina Kawambwa. Sasa mbona hapo mbele ya mbunge ni watoto tu!!!!
Mbagala nako hapatoshi wamemkataa mbunge na diwani wao wote ccm. Wanasema wameshindwa kutatua matatizo yao source itv saa 2
watapiga sana magoti ili wahirumiwe ... hakuna njia nyingine...usawa huu wewe unaena kulala bungen i unategemea nini?Mwaka huu hadi 2015 tutashuhudia mengi, maana hii ya kupiga magoti na microphone mbele ya watoto wa shule maana yake mambo magumu.