habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Ha ha ha mkuuu taratibu jamankLucy atakuwa amepata fundisho. Na sio yeye tuu bali kwa wabunge wote kuwa maneno yenye shombo yatapelekea kuanikwa tabia zao mpaka zile za chumbani. Kuzungumza bungeni huku mkiwanajisi wananchi ili kujitafutia sifa za kijinga kutoka kwa walio madarakani kutapelekea kuwa jua kwa undani tabia zenu chafu kabisa.
Lucy umeaibika 100% na huna pa kufichia sura yako. Na sio ajabu hii ndoa yako ya nne ikajifia na kupelekea wewe kutafuta ndoa ya tano.
Na wembe ni ule ule kwa watakao leta maneno ya shombo bungeni.
wewe na aliyesema akili zenu sawa kabisaAisee kuna sehemu nimesoma habari zake hadi nikaogopa ..nasikia anapenda sana kutoa mtandao pendwa ...kina Maembe..Api &son ,Rost tamu ...wamefumua sana
mbona wewe unaliraruliwa hujisemi, hujui tumekustahi tu mpaka nyumba unayouzia inajulikanaAisee kuna sehemu nimesoma habari zake hadi nikaogopa ..nasikia anapenda sana kutoa mtandao pendwa ...kina Maembe..Api &son ,Rost tamu ...wamefumua sana
mbona na wewe unauza na hatusemi au unafikiri hatujui biashara yako kubwa ni ipi..wake za Mange Kimavi yenu majunguImagine mbunge anasema yeye anawaza biashara tu na ukija kuchunguza biashara yenyewe kumbe ni kuuza mbunye tu kwa vibosile.
wewe umeonga kwa mateja wamekupa nini zaidi ya kukuachia ukurutuMbunge mwenyewe viti maalumu mpaka aonge papuchi ndo achaguliwe,naona anajaribu kujinadi kwa mkuu
Sema tu humu unatumia ID fake ila Nina uhakika mange kisha kujeruhi, unavyoongaea kwa hisiakwa mtu mwenye akili mbovu tu ndie atapenda kumsifia Mange,lakini hatushangai wenzetu wamezoea kutukana,sijui hiyo ndio ilani yao ya kisiasa ?
naona umeamua kuwajibu sasa mama lucymbona na wewe unauza na hatusemi au unafikiri hatujui biashara yako kubwa ni ipi..wake za Mange Kimavi yenu majungu
kwahiyo Lowassa kawazidi dau this time??Ni mawazo yenu tu. Kwa mtu mwenye akili alishatambua Mange ni mtu wa aina gani. Hana issue. Alishapewa mshiko wake na mamvi so anajitahidi kuchafua watu bila sababu. Malaya hanaga brake mdomoni siku zote. Ukimshabikia Mange basi akili huna hata kidogo.
Si vyema kumzungumzia marehemu kwa mabaya aliyMkuu sasa maadili angeyatolea wapi ikiwa baba yake aliuawa kwenye fumanizi!si tumzowee tu.
Sio mwehu tu,mimi nadhani kale kadada kana laanaLowassa ni nani?huyo Mangi ni mwehu siku zote sasa ulitaka watu na heshima zao waanze kujibishana na mwehu,ukimsikiliza mwehu na wewe utaonekana mwehu,hakika chama chenu kina kosa mwelekeo kwa kusubiri uwehu wa Mange ndio uwe mtaji wa kisiasa,leo hii mnamuona Mange mtu muhimu kwenu ,kazi mnayo.
Yaani kumbe yeye yupo bungeni anawaza biashara na muda wa kujenga hoja ili aulize swali hana...Mh.Lucy Mayenga anafikiri jukumu la wabunge ni kuanzisha biashara na siyo kutunga sheria au kuisimamia serikali.
..Mh ametumikia ubunge zaidi ya miaka 10 sasa!!
Angeanikwa yule ningefurahi sanAaaa.Alinikera mpk nikajisikia kucheka siku ile.Agness Marwa mbunge aliyetamani kulia kisa bunge lisioneshwe live
Hawa ni wale walioko bungeni kusema ndiooooo wako nyuma ya .... no matter whatYaani kumbe yeye yupo bungeni anawaza biashara na muda wa kujenga hoja ili aulize swali hana.
Kwanza viti maalum miaka 12!! Acha tu aongee shudu.
Wabunge wanaingia bungeni ku concentrate na mijadala na kujenga hoja. Siyo kuwaza biashara zao binafsi au kuanzisha vikoba.
Eti mbunge anatoka bungeni alafu anakua hana hela.!! SMH...kumbe yeye ameenda bungeni kuvuna hela siyo kuwatumikia wananchi.
Watu wa aina hii wanafanya nini bungeni.
Ccm sijui inafanya vetting kiasi gan hadi mtu huyu kupita miaka 12 yote
Huyu Mbunge amesema ukweli kabisa! Hongera Mh. Lucy Mayenga.
Mtoto wa ndesa anaitwa lucy owenya.Mtoto wa Ndesamburo.
Hana hata .mtotoHuyo siyo mke wa kuoa. MTU ana miaka 46 anaolewa na mtoto wa mwaka 1991?. Kweli?. Hii laana ya kupenda ngono. Difference ya miaka 20. Najiuliza kama huyu mama alikuwa na watoto before huyu baba yao watamtii kweli maana umri wa baba yao ni sawa na umri wa watoto wake . IPO kazi.