Lucy Kibaki ampiga kibao MC!

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,556
1,414
By Standard Reporter

A presidential awards ceremony at State House, Nairobi, was disrupted after First Lady Lucy Kibaki slapped the master of ceremonies (MC).

The MC, a senior administrative officer at the Office of the President, was quickly removed from the scene by presidential security detail in the incident last night.

President Kibaki, the Vice President, Mr Moody Awori, several Cabinet ministers and members of the diplomatic corps watched in dismay as the drama unfolded.

The MC had started introductions to kick off the ceremony, an annual tradition after the Jamhuri Day festivities, thus: "Your Excellency, Mr President, First Lady Mama Lucy Wambui..."

But before he could continue with the introductions, the First Lady stood up from where she was seated and briskly walked to the MC, whom she slapped across the face.

The ceremony was temporarily disrupted as security took away the shocked public official leaving Head of Civil Service, ambassador Francis Muthaura, to take over.

Meanwhile, State House security grabbed the cameras of the few journalists present and ensured all footage of the incident was erased before returning the equipment.

JAMANI SHERIA YA KUSHAMBULIA AU KUPIGA KENYA INASEMAJE?
JE LUCY ANA IMMUNITY?
 
Huyo mama anazidi kumharibia mmewe.
Nadhani akili zake haziko sawa huyu. unakumbuka alivyokwenda kwenye kituo cha television usiku, akiwa kwenye 'night gown' na kumzaba kibao mtu huko pia?
 
Kalamu,
Haswa when this happens karibu na uchaguzi sii safi kwa kambi ya Kibaki. Hivi huyu jamaa aliyepigwa hawezi kushtaki mahakamani- apewe fidia ya kudhalilishwa?
 
Inawezekana kuna sheria inayomlinda mtu aliyedhalilishwa namna hiyo lakini kwa nafasi yake na kwa nchi kama Kenya haki kutendeka ni kazi sana. ah nae angemchapa kibao atie adabu afu mambo yaishie hapo hapo.
 
Alikuwa Anataka Aaitwe Lucy Kibaki Si Ndio Ujiko

Ila Kaharibu Na Atalipia Gharama Yake Kwa Wakenya Siku Hiyo Ya Kiboxi
 
Huyu mama amezidi, hata kama Kenya haki haiwezi kutendeka, lakini mimi naona kama wakenya wanamdekeza, unataka kuniambia Kenya hakuna wendawazimu wenzie ili wamshughulikie jamani.
 
Mie kwa upande wangu nadhani kichaa huwa apigi watu ovyo labda awe provoked nadhani Mc alijua hiyo ndio sehemu ya kuchokoza.
Mie hata sijui Mama Salam Kikwete Surname yake kabla ya hii ni nani?
 
Hivi hii wambui si jina la mke mwenzie? mke wa kibaki mwingine yule anaiwa nani? may be mc alifanya makusudi kum-provoke akijua kabisa ata-react mbele ya camera. kenya siasa chafu, yawezekana kabisa ulikuwa mtego wa raila, uchaguzi huu jamani watu wanafanya lolote liwezekanalo. ila huyu maza kazidi
 
Hata kama ungekuwa mtego ina maana huyu mama hana uvumilivu hata kidogo?
 
Uyu mama ukimwona kwa sura tuu anaonekana kakaa kisharishari.
Na huu mda kwa mumewe ni critical sasa ndo anafanya vitendo vya aibu kama ivyo.
Ni wakenya wenyewe kumwadabisha bse anawatia aibu,issue ni kuwa Kibaki mpole na mama ndo kijogoo apo sasa.
Ndo ivyo mambo ya samaki mkunje angali mbichi sasa kwa level aliyofikia sijui itakuwaje
 
Yes Lucy Wambui is that woman believed to be Elimio Kibaki's second wife. Is it the problem of simmilar names? Read more of this down here:

Kenyan first lady slaps official after name mix-up: report
12 hours ago

NAIROBI (AFP) — Kenya's first lady Lucy Kibaki on Wednesday slapped an official who confused her name with that of a woman who has been reported as being the president's second wife, a report said.

Lucy Muthoni Kibaki slapped an under-secretary in the office of the president after the official referred to her as "Wambui" during a presidential awards ceremony, independent NTV reported.

The undersecretary, whose name was not disclosed, immediately stopped officiating the ceremony at the State House in Nairobi and was whisked away by security forces, NTV reported.

The report said security forces confiscated the camera that captured the moment and erased the clip.

President Mwai Kibaki ignored the incident and the awards ceremony continued, the report added.

The woman whose name was mentioned has been widely reported as being the president's second wife, though he has not confirmed it.

In 2004, the first lady provoked an uproar when she issued a statement to the press denying widespread speculation that her husband had more than one wife.

The influential first lady has earned a reputation for being controversial.

In 2005, she stormed into the office of the country's largest media group with a phalanx of armed bodyguards to complain about allegedly unfair coverage.

In that incident, she assaulted a journalist who attempted to film her, as well as confiscated journalists' cell phones, cameras, notebooks and pens in the five-hour siege.
 
Hivyo ndivyo vibweka vya viongozi wetu wa ki-Afrika. Mke wa Rais anachukua sheria mkononi mwake kwa kuchapa watu, kuingilia vyombo vya habari na anaachiwa hivi hivi! Naona mumewe katiwa mfukoni na huenda huko nyumbani anazabwa vibao. Mambo hayo!!!!
 
she does not have any immunity, but ni mahakama gani itaweza kuproceed na suit inayomhusu the first lady of an african country. let us all hope that, come Dec 27th 2007 Kenyans will realise what Kibaki's administration has done for the past five (5. Na kule si kama Bongo rigging is minimum.

Kura zinapigwa na watu hawaendi nyumbani wanasubiri kisha zinahesabiwa mbela ya wananchi wote.
 
Hivyo ndivyo vibweka vya viongozi wetu wa ki-Afrika. Mke wa Rais anachukua sheria mkononi mwake kwa kuchapa watu, kuingilia vyombo vya habari na anaachiwa hivi hivi! Naona mumewe katiwa mfukoni na huenda huko nyumbani anazabwa vibao. Mambo hayo!!!!

It is a sign of insecurity on her part. But again, it seems she has a lot of influence over her husband.
 
....mary wambui ni mke wa pili wa kibaki..amefunga nae ndoa kwa taratibu za mila ya kikuyu..wajameni si mnajua wake wengi ni asili yetu sisi waafrika...ukiongea na wazee ukiwaambia bibiye anakuletea mdomo wanakushauri mtafutie mwenzake[so they will only be competing peacefully ] for your love...dini especially ukristo ndio uliokomesha hii mila ya kiafrika ya wake wengi..lakini still wazee wengi wakitaka kuoa mke wa pili ..hata kama ni waafrika hutumia mila kumuhalalisha ..na yule wa kanisani anakuwa ndie official..as the case for kibaki...

kwa mfano sasa hivi huyu mary wambui naye anampigia mzee kampeni kivyake..yupo na binti yake aliyepata kuajiriwa foregn affairs kenya...ambaye alihusika na lile sakata la arthur brothers ..mmoja akiwa mpenzi wake [wale waliodaiwa mamluki]..huyu binti inadhaniwa ni mtoto wa kibaki,...na kuna wakati lucy alimlazimisha kibaki atoe presidential statement ya kukana kuwa na familia nyingine zaidi ya ya yeye lucy na watoto wake...na akafanya hivyo ..pamoja na wazee wa mila za kikuyu kuja juu..but inaeleweka hajawahi kumuacha huyo mke wa pili na bado anaye...mama lucy kibaki yuko na wivu sana!!!!

huyu wa kwetu hapa salma ..naye anao washindani wengi tu..na juzi kachukuliwa mwingine mbichiiiiiiii na ana mtoto mchanga sasa..ndio maana naye mikogo mingi ..ie misafara ...ets ili kuwakoga wenzake ..as if saying hata mkijifanya vipi..mimi ndie ninayetamba!!!!!

wakubwa haoo!!!..kwa waafrika hiyo si dhambi??!!
 
Mkubwa uko fit kwa data?!! Mnazinyaka wapi hizi habari? Usalama wa taifa nini?!!!
 
Back
Top Bottom