Lucy Kibaki ampiga kibao MC!

huyu wa kwetu hapa salma ..naye anao washindani wengi tu..na juzi kachukuliwa mwingine mbichiiiiiiii na ana mtoto mchanga sasa..ndio maana naye mikogo mingi ..ie misafara ...ets ili kuwakoga wenzake ..as if saying hata mkijifanya vipi..mimi ndie ninayetamba!!!!!

wakubwa haoo!!!..kwa waafrika hiyo si dhambi??!!

'speculation'
nasikia mzee wa njenje yeye huwa hajui kukataa mtoto, ilimradi kama alipitapo. na inasemekana idadi ya watoto wake wanajaa minibus, na wakuu wengi wa wilaya 'mabinti'ni fadhila.
 
finally hata kiitwacho fate pia kimekwisha amua kwamba Raila Odinga ndio Rais wa awamu ya nne Kenya huku Kibaki akiombwa kumchukulia Mama Taifa adhabu kali. Hasira ya wengi nchini inaendelea kumiminika kwenye maredio za FM huku wananchi wakisema siku ziende kasi Raila achukue power tarehe 27/12/2007 ili asafishe Ikulu. Inasemekana kuna stress kibao huko nyumbani kwa mpole Rais Kibaki kwajili ripot za majasusi wa serkali zaashiria wananchi wameshaamua kwamba Rais huyo na PNU watashindwa kwa kishindo kikubwa na akina Raila.Yaliofanyika katika sikuukuu hiyo ya kusherehekea uhuru wa Kenya ni saini tu ya hiyo tension...eti...lakini hatujui wacha tungoje 27 Desemba

Political impact ya hii blunder ambayo Mama wa Taifa kafanya imeifunga mlango wa bahati na sasa Kibaki lake limeisha.

Wengi wanadhani Mama kafanya hivyo jili yuko Ikulu lakini wanataka sasa aondoke huko ili sheria za nchi zimuadhibu akijaribu tena alichokifanya in future.

Ni kweli pia kwamba ana halali yake kwa hilo lililotendeka...kwanini huyo ofisa hakumuitaa tuu Lucy Kibaki. fullstop? Kwanini? Au pia alikuwa amenunuliwa na kampu ya Raila? Unajua Kenya siasa bwana chochote cha wezekana. Tumeona mengi mwaka huu.

Kura za maoni za kila wiki zimeonyesha kwamba Kibaki kaanguka point tatu na yupo kwa 33% ya kura zitakazopigwa. Raila amepanda kwa alama 5 sasa yupo kwa 48% tena. Ukiongezea hii ishu ya ikulu basi inaonekana Raila atanyakua 55% ifikapo tarehe 27/12/2007 nimevyokuwanikitabiri tangu mwezi wa kumi.

Raila Tafazali Ingia Ikulu, Ida atupe taswira tofauti ya Mama Taifa!
 
Does it mean that lucy was insulted by the name wambui!??
Of course she felt insulted kwa sababu Wambui ni jina la mke mdogo wa Kibaki ambaye Lucy hamtaki kumsikia wala jina lake kutajwa. Huyu mama ni jeuri. Lakini hata ukimsikia anavyomwombea kura mumewe. She is a better orator than Kibaki. Kibao hicho kitampatia kura mumewe kutoka kwa wanawake ambao waume zao wamehamia nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom