Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

Tuna uhakika wa kuwapiga na matokeo tutawabandikia ..Hapa kazi tu
 
Safi sana refa ikiwa hivi ni furaha kwa wapiga kura .Kura za Rais zikihesabiwa vituoni basi bao la mkono halipo tena
 
Na ikiwezekana zitumike njia za kidigitali katika kurecord matokeo katika kila kituo. Mfano: Karatasi za matokeo zipigwe picha wakati mawakala wanasign na kuwe na mahala ambapo picha hizo zitatumw kwa ajili ya majumuisho. Au sharia inaktaa kupata nakala yamatokeo kwa njia a picha?
 
Huo ndiyo utaratibu wa chaguzi zote. Tatizo ni jumla kuu ya kura za rais ni tume tu ndiyo inayotangaza idadi ya kura za kila mgombea wa urais. Kama zikitofautiana na tulizonazo kwenye vyama vyetu hatuna fursa ya kuhoji!!!!!!!!!!!!!!Kwa nini hamelewi maana ya goli la mkono? Kule kwenye tume hakuna mawakala wa vyama! Mkiingia barabarani mtapigwa tuu! Kwa hiyo turidhike na wabunge wengi ili tufufue katiba ya mzee Warioba. Lowasa ajue yeye ni mtaji wa kupata wabunge wengi na asitulazimishe kumfanya yeye kuwa rais.
 
Wewe umetumwa nahao magamba ma ccm. .lowassa ndiyo rais mtalajiwa
 
Back
Top Bottom