Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

Lubuva: Matokeo yabandikwe nje ya kituo husika!

Huo ndio utaratibu kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi. Kinachotakiwa ili kura zisiibiwe ni kuhakikisha kila kituo kinakuwa na mawakala ambao 'hawadanganyiki' na kuwa na tallying centre (mbali na ile ya NEC) kwa ajili ya kujumlisha kura za urais kama walivyofanya Nigeria. Yote haya yanawezekana ni kujipanga tu.

Tatizo kubwa ni mawakala vinginevo ushindi upo bila shaka.
 
IWE KTK MFUMO HUU:
***********************
URAIS
******
A--------1267
B--------2769
C-------1273
D-------7768

UBUNGE
*********
A------1223
B-------6788
C------2888
D------8888

UDIWANI
*********
A
B
C
C
*********************************
**********************************
HUU NDIYO MFUMO AMBAO UNGESTAHILI KUTUMIWA
ii
Ulimaanisha hiyo colored ni ya Ukawa na EL?
 
Kura zote huhesabiwa vituoni na matokeo hutangazwa.hakuna mahala sehemu nyingine kura huhesabiwa.je mnao mawakala kila mahala.kwenye vituo?au suala ni ikulu tu na kura za mijini!!! Hata huko vijijini mitaa tu ni ccm ndio wengi!!! Tafakari
 
hata urais

Unajua huwa kura za Urasi zinaibiwa vipi? ni very simple kama tulikuwa hatujajua, na UKAWA wanatakiwa kulifanyia kazi:

Wakati wa kuhesabu kura Madiwani huwa bise kucheki kura za zake za udiwabi zisiibiwe na Wabunge huwa bise kucheki za ubunge zisiibiwe na hakuna anaye angalia za Urasi so ni rahisi kuchakachua, kinacho takiwa mawakala na wagombea wawe bise kucheki kura zote za Urasi na za udiwani na Ubunge wasijikite kucheki za Ubunge na udiwani tu
 
Jaji Lubuva amesema ameagiza kwa mujibu wa taratibu, kura zipigwe, zihesabiwe na matokeo yabandikwe nje ya kituo husika

Chanzo: Jamhuri

==============================

UKAWA tufanye haya kujihakikishia ushindi:

1. Tupige kura na kulinda kura zetu hadi matokeo yatoke kwenye kituo husika; then matokeo hayo yaende kwenye Tallying Centre ya UKAWA
==============================

2. 'UKAWA TALLYING CENTRE' iwepo mbali ya ile ya NEC. Ili kuwe na uhakika kwamba matokeo yanyotumwa na wakurugenzi kwenda NEC ni sawa na yaliyopo kwenye Tallying Centre ambayo ni mkusanyiko wa matokeo ya kura zote kutoka kwenye vituo husika.

Tallying Centre ikikosekana, bao la mkono linatuhusu! Ulinzi wa kura ukikosekana, bao la mkono linatuhusu!

==============================

HIZI MBINU MBILI NDIO ZILIZOMUOKOA JOHN MNYIKA VINGINENVYO UBUNGE WAKE INGALIKUWA HISTORIA

Tallying Centre ya UKAWA si inatuhusu sisi wana UKAWA? Kwa hiyo ni jukumu la Ofisi za UKAWA ( kama kipo) ,kwa utaratibu wamekwisha andaa sasa,kuweka tayari Tallying centre ili ikifika kipindi cha kupiga kura kila kitu tayari. Sasa sijui kama ofisi inafahamu hili?
 
mbona zinahesabiwa hapo hapo vituoni jamani. Lubuva hajasema lolote jipya. Kura zinahesabiwa na kutangazwa kituoni. Ndio sheria hiyo.

kaka zilizokuwa zinabandikwa kwenye kituo niza ubunge na udiwanitu. Za urais zilikua zinapelekwa nec.
 
Jaji Lubuva amesema ameagiza kwa mujibu wa taratibu, kura zipigwe, zihesabiwe na matokeo yabandikwe nje ya kituo husika

Chanzo: Jamhuri

==============================

UKAWA tufanye haya kujihakikishia ushindi:

1. Tupige kura na kulinda kura zetu hadi matokeo yatoke kwenye kituo husika; then matokeo hayo yaende kwenye Tallying Centre ya UKAWA
==============================

2. 'UKAWA TALLYING CENTRE' iwepo mbali ya ile ya NEC. Ili kuwe na uhakika kwamba matokeo yanyotumwa na wakurugenzi kwenda NEC ni sawa na yaliyopo kwenye Tallying Centre ambayo ni mkusanyiko wa matokeo ya kura zote kutoka kwenye vituo husika.

Tallying Centre ikikosekana, bao la mkono linatuhusu! Ulinzi wa kura ukikosekana, bao la mkono linatuhusu!

==============================

HIZI MBINU MBILI NDIO ZILIZOMUOKOA JOHN MNYIKA VINGINENVYO UBUNGE WAKE INGALIKUWA HISTORIA

Halafu kinachoweka watu roho juu ni kuwa UKAWA hatuna private address,email,simu,kila mawasiliano tunatumia social media,kwanini inakua hivyo?sio kila mawasiliano ni hapa,vipi? Tuko disconnected,kila kitengo/kikundi kina fanya mawasiliano bila kuratibiwa. Duniani kote kampeni zinahitaji zieleweke. Daaaaaa!
 
Hii imekaa vizuri kama kura zote zitabandikwa kituoni
 
Jaji mkwawa siku ile alisema utaratibu wa NEC kura zote zinahesabiwa kituoni na zinabandikwa kituoni kuanzia za udiwani, ubunge na uraisi. Kuna swali tena? Hapo sasa ni kukomaa na usahihi wa matokeo hayo yanapotumwa kwenye tallying center.
 
Mpaka Mzee anasema haya ni wazi hii ndio area pekee iliyokuwa imabakia katika strategies za goli la mkono na takuwa kashauriwa vizuri kulinda heshima yake. Na ni eneo hili tu ambalo likisimamiwa uchaguzi ni amani tele na ikichezewa basi ndio watajua kuwa malofa na wapumbavu hawana cha kupoteza na wala hawaogopi vitisho.
 
Back
Top Bottom