Elections 2010 Loyola vurugu tupu: CHADEMA yataka matokeo yatangazwe haraka

diana98

Member
Apr 13, 2010
26
0
Chadema wataka matokeo ya ubungo yatangazwe haraka kabla yajachakachuliwa kuna vuruguzimetokea hapa naona mabomu ya machozi naskali kibao wametandazwa kila konaa
 
Duh Loyola ndiyo jimbo gani la uchaguzi?lipo mkoa gani?mimi sijawahi kusikia jimbo hilo!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom